Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna matakataka yatakuja baada ya wiki mbili kutoa updates za usajili wao wa jamii forum😂😂😂
 
Mimi lawama zangu zote naangushia kwa lacca sababu kwa namna kikosi cha liver kilivyo kua ni wazi kabisa ni lazima wangetuzidi kwa kila kitu!
Ila kwa nafasi chache tulizopata tena mtu wa mwisho ni lazima tunge score ili ku balance game.
Pia bila ya kufanya maboresho kwenye kiungo chetu tutaendelea kuwalaumu beki zetu tuna viungo wa kawaida sanaaa.
Lacca ameniboa sana leo.
#ni hayo tu
Aaaron + Dully na mashabiki wengineo wa Arsenal FC mnaotusumbuaga kwenye uzi wa Chelsea FC naomba msome vizuri huu ujumbe.

La gazeti kathibitisha ukilaza zaidi juu ya ukosaji wa nafasi 2 za wazi leo na nimemshukuru sana maana Timo Werner alikosa nafasi 1 tu kwenye mechi dhidi ya Liverpool FC lakini mlirundikana kwenye uzi wa Chelsea FC mkisherehekea kwa kejeli tupu kuwa Chelsea tumepigwa.
 
Ninatafutia mkate wangu Makumbusho na ninaishi Boko Ili niangalie mechi usiku wazia narisk vingapi? So leo ni nina hasira huku akili ipo hoi.

Na muda wote nipo kwenye purukushani za magari nawaza zile miss mbili za Lacazette, sasa hivi huko alipo atakua anawaza nini? Striker kamili unakosaje kuscore katika near identical chances?

Timu yetu ilikua hoi yet among huo uhoi some individual thought "No lets go down fighting" wanakuletea mpira kisha unafanya ujinga? Nimezoea kuona strikers wawili wanaokosa wakibaki na kipa, Rashford na Tammy leo huyu kajileta kwenye group hili.

Xhaka kama ana kutu mwili mzima, Niles, Tierney wote hawajaperform katika expected performance. Nilisema Willian hung'aa mechi moja na kupotea zijazo. Leo imejidhihirisha na mechi iliyopita imejidhihirisha.

Arteta alisema hagombei kikombe chochote lakini sikutaraji performance iwe hivi hata nilivyoandika juu ya possession kona n.k. sikudhania itakua katika hali hii.

Leeds alipata goli 3 kwa Liva. Arsenal tumepata moja na nafasi mbili kaharibu striker so Leeds ana finishing nzuri kuizidi Arsenal inapokuja juu ya kucheza na Liva. Nilisema the only way Leeds secured those goals ni kwakua waliubeba ugomvi mpaka mlangoni kwa Liva nikasema tuliopt kustay tulivyokutana nao maajabu tukashinda.

Leo tumeopt kustay na tumeonyeshwa ni jinsi gani ulikua ni uamuzi wa kijinga.

Katika point 12 tumeshapoteza 3. Tuone tutasecure ngapi kati ya zilizobaki.

Lacazette mjinga sana.

On to the next one.
 
Mimi kama mimi nashauri huyu pepe atolewe kwa mkopo hadi mkataba wake utapoisha kisha aachwe huru ilimradi tim nyingine itusaidie japo kidogo kulipa pesa ya mshahara wake. Eti naskia kila msimu huyu tunalipia £20 kwa lile hiii habari ni kweli kama ni kweli bas bora tuwarejesheee wenyewe tuuu maana dahhh kila nikifkiria kuhusi pepe naona kabisa ule usemi wa mama kipindi nilipokua mdogo nikitaka kitu naambiwa pepee yaani hamna kitu dahhh pepeeeeeeeeeee.
 
NAONA MMEANZA LIGI...TATU MZUKA pambaf sana.
Screenshot_20200929-050857_All%20Goals.jpg
 
Man City jana amebugizwa 5...... Sisi wala hatuna roho mbaya kiasi hiko. Tutapiga Liverpol bao 3 tu ili marehemu asidhalilike sana.
AKILI YA HOVYO SANA HII...YAANI WALE KINA PEPE NDIO....
 
Naprefer points in all matches against them.

Natarajia hivi;

Tutaongozwa possession. Liva watacheza faulo nyingi ili kuhakikisha wanarudisha possession as fast as possible. Natarajia kadi za njano kwa kila timu angalau 2 na kuendelea.

Wote tutapiga pasi kuanzia 410. Kwa Arsenal mpiga pasi nyingi atakua Xhaka au Elneny (kama ataanza) kwa Liva ni Thiago kama ataanza.

Liva watapiga shots kuanzia 12+ Arsenal tutapiga shots kuanzia 1 - 12.

Kona kwa liva zitakua 6+ Arsenal itakua 0 - 6.

Ikatokea kipindi cha kwanza kimeisha suluhu ya bila bila tukirudi naamini Arsenal tuna chansi ya kushinda kuliko Liva. Liva wana technic moja ya 'attacking fullbacks' ambayo inakua ngumu kutoboa with 3 4 3 na hawana alternative.

Hii mechi tuombe tu VAR isiingilie kati.

Itakua gemu ngumu but it is worth it.
NIMEAMINI YULE MUHINDI WA BETTING ATAENDELEA KUMALIZA HELA ZA VIJANA KAMA HAWA...YAANI ULIAMINI KABISA UTAMFUNGA mane,firminho,salah UKIWA NA KINA elnany na kipepe?
 
Back
Top Bottom