Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna mechi 2 na Liverpool week hii na pia I am sure hatuwezi kuwafunga hapo Anfield mfululizo kama blood fan wa Arsenal ni heri leo tupate point hapo na Thursday itafahamika kitakachojiri
 
Tuna mechi 2 na Liverpool week hii na pia I am sure hatuwezi kuwafunga hapo Anfield mfululizo kama blood fan wa Arsenal ni heri leo tupate point hapo na Thursday itafahamika kitakachojiri
Kugawana point na Liverpool sio mbaya lakini kwangu sio 1st option..

Ikiwezekana tuwafunge pale pale kwao, wachezaji waende na mentality hiyo kama 1st choice.

Let's prove them wrong!
 
Kugawana point na Liverpool sio mbaya lakini kwangu sio 1st option..

Ikiwezekana tuwafunge pale pale kwao, wachezaji waende na mentality hiyo kama 1st choice.

Let's prove them wrong!
True ila pata picha tungekuwa tunacheza na Liverpool today na Thursday tupo Emirates je unafikiri Liverpool wangekubali tuwapige game zote hizo?tena ndani ya siku 3?
Bahati mbaya ratiba imekuwa hivi ila Mimi na prefer kupata points leo kuliko Thursday
 
Telefoot : Agreement between Arsenal & Aouar but still no agreement with Lyon over the amount of the transfer fee

M.Bouhafsi says Lyon want €50m for Aouar. Also says Depay won’t be sold to Barca (they don’t have money) and adds Dembele is staying at Lyon for another season. So Aouar and Reinne Adelaide likely to Leave.
 
KT, Mane yuleee
Luiz, Salah yuleee
Xhaka, Thiago yuleee

Liver, Liver Liver..

Sorry jamani nilikua nakumbuka ule wimbo wa Yamoto Band - Niseme. Naona mvua hapa kuna njemba zinaanza leo kujipiga ban
 
Naprefer points in all matches against them.

Natarajia hivi;

Tutaongozwa possession. Liva watacheza faulo nyingi ili kuhakikisha wanarudisha possession as fast as possible. Natarajia kadi za njano kwa kila timu angalau 2 na kuendelea.

Wote tutapiga pasi kuanzia 410. Kwa Arsenal mpiga pasi nyingi atakua Xhaka au Elneny (kama ataanza) kwa Liva ni Thiago kama ataanza.

Liva watapiga shots kuanzia 12+ Arsenal tutapiga shots kuanzia 1 - 12.

Kona kwa liva zitakua 6+ Arsenal itakua 0 - 6.

Ikatokea kipindi cha kwanza kimeisha suluhu ya bila bila tukirudi naamini Arsenal tuna chansi ya kushinda kuliko Liva. Liva wana technic moja ya 'attacking fullbacks' ambayo inakua ngumu kutoboa with 3 4 3 na hawana alternative.

Hii mechi tuombe tu VAR isiingilie kati.

Itakua gemu ngumu but it is worth it.
 
FT Liver 3-1 Arsen8

Naona kuna watu wanajipa moyo tayari
Kuna dogo ananiambia 'Unaona wanaume tumepambana tumetoa suluhu?' nikacheka tu.

Nafika humu nakuta na humu mnajisifu kutoa suluhu baada ya kuongozwa na West brom.

Nilifikiri kwa thamani ya kikosi chemu kilivyoizidi West Brom quality ilitakiwa msishangilie ile suluhu.

Wewe ulienda mbali mpaka ukaahidi Timo atafungua akaunti ya mabao. Hata mi ningekua wewe ningesema hivyo maana West Brom ndiyo timu shit kuliko zote kwa zilizopanda haina hata win moja.

Sijui kama nyinyi plastic fans mnajali hata.
 
Man City jana amebugizwa 5...... Sisi wala hatuna roho mbaya kiasi hiko. Tutapiga Liverpol bao 3 tu ili marehemu asidhalilike sana.
 
Tuna mechi 2 na Liverpool week hii na pia I am sure hatuwezi kuwafunga hapo Anfield mfululizo kama blood fan wa Arsenal ni heri leo tupate point hapo na Thursday itafahamika kitakachojiri
Ndugu yangu, Siku hizi hakuna cha home wala away. Kilichokuwa kinachagiza mtu ujione away ni MASHABIKI. kelele za mashabiki majukwaani zinachangia sana kutoa hamasa kwa timu zao na kuzinyong'onyeza timu pinzani.... Level ya commitment mbele ya mashabiki ni kubwa sana kwa wachezaji. ....
Bila washabiki mimi naona ni NEUTRAL GROUND.

#Liverpool ATAPIGWA, ATACHAKAA
 
Umeongea kweli mashabiki ndio wenye hamasa hapa sibishi ila kumbuka tunaongelea Liverpool ambao tutacheza nao ndani ya siku 3 tena hapo Anfield ambapo kwetu ushindi ni mwiko najua hata sisi hatutakubali kufungwa mfululizo hapo that's why na prefer kupata points leo kuliko Thursday
 
Let's make revenge for our neighbor CHELSEA.
FB_IMG_1601316340839.jpg
 
Back
Top Bottom