Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pweza hujambo huko uliko hii ndio tofauti ya wanaume na wavulana
Ujue kufungwa nako kunatofautiana. Unaweza ukafungwa lakini umepambana sana... Lakini leo tumefungwa na hakuna tulichofanya kabisa! Leo hii tunategemea Nketiah ndio akabadilishe matokeo vs Liverpool...??? At least martinelli
 
AMN amecheza ovyo sana leo, yeye na Tierney wamekuwa njia ya kuingia kupitia upande wao, magoli yote yametoka upande wao(anatoa Paso Salah).

Midfielder area bado ni kikwazo kwetu, japo Elneny ni mzuri lakini sio kwa tough matches kama hii, Ceballos yupo vizuri kutengeneza pasi za mwisho(Lacca amekosa clear-cut toka kwa Ceballos.

Laccazate angekuwa makini tungesawazisha, Auba amekuwa kimya and so was Willian.

Backline ipo just OK. Kuna mazuri ya kubeba, we were the underdog in this game na tumeonyesha kweli we were rated the underdog.
 
Ndio ujifunze kuongea kwa ustaarabu unajimbafy utafkiri matokeo unayajua mpira dk90 mkuu
 
AMN amecheza ovyo sana leo, yeye na Tierney wamekuwa njia ya kuingia kupitia upande wao, magoli yote yametoka upande wao(anatoa Paso Salah).

Midfielder area bado ni kikwazo kwetu, japo Elneny ni mzuri lakini sio kwa tough matches kama hii, Ceballos yupo vizuri kutengeneza pasi za mwisho(Lacca amekosa clear-cut toka kwa Ceballos.

Laccazate angekuwa makini tungesawazisha, Auba amekuwa kimya and so was Willian.

Backline ipo just OK. Kuna mazuri ya kubeba, we were the underdog in this game na tumeonyesha kweli we were rated the underdog.
Usimlaumu Elneny kabsa, kwa midfielder flop alkua xhaka...

En Bora Combination ya Elneny na Ceballos
 
Back
Top Bottom