Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta has not been knocked out of a domestic cup competition since becoming Arsenal manager.

Lincoln or Liverpool await in the next round.
 
Hana utulivu kabisa pia hayupo clinical sijui ata improve lini, kiukweli Pepe anakatisha tamaa.
Nicolas Aaron Pepe sio mchezaji mwenye hadhi ya kucheza Arsenal! Ni level za Abidjan Mimosa na Africa Lyon maana hata Kagera Sugar hawezi kumtoa Farazzi.

Hatukununua mtu wa kuchenga bila manufaa huku ukiwa 25 yards out of goal! Tungehitaji chenga Iwobi angelikuwapo, anazidiwa na beki Bellerin anafanya chenga zenye tija na maamuzi ndani ya boksi. Hana maamuzi, hajui mpira unatakiwa kufika wapi.
 
Inafikirisha sana mkuu
 
Inafikirisha sana mkuu
Mimi katika maisha yangu huwa nasema ukweli na kuzielezea hisia zangu halisi (Red ni Red, Yellow ni Yellow na Black ni Black) sina Black ni Red. Hili jambo huniweka huru na kuwa muongozo kwa wengine.

Nilisema humu kipindi Pepe analetwa kuwa ni overrated.
 
Back
Top Bottom