Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nina Imani kwa hiki kipindi Cha pili arteta atafanya kitu,

Guys game bado haijaisha.
 
UKIACHANA NA STATISTICS HIZO ARSENAL ALIZO-SCORE ZERO,ZERO,ZERO BALL POSSESSION NI 70-30
Screenshot_20200928-225328_All%20Goals.jpg
 
Halafu goli la pili nimemsikia mtangazaji anataka aktupie lawama bellerin wakati ni Willian ndio haku-track to the end
 
Hasira gani tena nimemjibu mwenzangu bado siku 4 dirisha linafungwa

Usajili Updates: Raisi wa Lyon atangaza Ijumaa kuwa siku ya mwisho kwa wachezaji wa timu hiyo kusajiliwa.

Raisi wa Lyon Jean Michel Aulas leo jioni ameviambia vituo vya Runinga vya Telefoot na Canal kwamba ikifika siku ya Ijumaa wachezaji ambao hawatakuwa wameondoka basi hawatasajiliwa tena.

1601323752573.png

Houssem Aouar
 
Back
Top Bottom