Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasikitika Arteta kamuacha beki kisiki Gabriel nje
Screenshot_20200928-211059_Instagram.jpg
 
Ndugu zangu kipigo kinawahusu Leo

Angalia midfield alioiweka Klopp halafu angalia Sub kawaweka akina nani

Sub zote beki ni mmoja tu , Sub katia Origi, Minamino,Jota na ongezea dogo Curtis Jones

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Naprefer points in all matches against them.

Natarajia hivi;

Tutaongozwa possession. Liva watacheza faulo nyingi ili kuhakikisha wanarudisha possession as fast as possible. Natarajia kadi za njano kwa kila timu angalau 2 na kuendelea.

Wote tutapiga pasi kuanzia 410. Kwa Arsenal mpiga pasi nyingi atakua Xhaka au Elneny (kama ataanza) kwa Liva ni Thiago kama ataanza.

Liva watapiga shots kuanzia 12+ Arsenal tutapiga shots kuanzia 1 - 12.

Kona kwa liva zitakua 6+ Arsenal itakua 0 - 6.

Ikatokea kipindi cha kwanza kimeisha suluhu ya bila bila tukirudi naamini Arsenal tuna chansi ya kushinda kuliko Liva. Liva wana technic moja ya 'attacking fullbacks' ambayo inakua ngumu kutoboa with 3 4 3 na hawana alternative.

Hii mechi tuombe tu VAR isiingilie kati.

Itakua gemu ngumu but it is worth it.
Kweli kabisa!.. Wasipotufunga mpaka tunaenda half time itakula kwao
 
Wote mnaodoubt uwezo wa Elneny leo tena anaprove kitu.

Nilisuggest hadi kwenye page ya Arsenal IG 'Play Elneny' na ameanza.

This guy atasababisha Partey afungiwe vioo. He is a beast but needs feeding and Arteta is doing it.

Tuone.
 
Ndugu zangu kipigo kinawahusu Leo

Angalia midfield alioiweka Klopp halafu angalia Sub kawaweka akina nani

Sub zote beki ni mmoja tu , Sub katia Origi, Minamino,Jota na ongezea dogo Curtis Jones

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kuna mchezaji mpya ambae humjui?

Si ni walewale?

Ukiingia kwenye kibanda umiza kaa karibu na mlango wa kutokea usije ukawasumbua watu ukiwa unatoka!
 
Tho siyo shabiki wa arsenal ila leo nipo upande wenu kwa sharti moja tu.

Ninyi hamna effect mbele yetu hata mkituzidi point 20. Ila liver some how wakikuzidi unastrugle.
Aiyaa arsenal nawaomba mshinde mechi mkifungwa na liva msiongee chochote
 
Thiago yupo nje ni majeruhi, na Jota nae yupo bench.

Arsenal inachezesha kikosi kilichocheza mechi ya ufunguzi wa ligi ukiondoa David Luiz ambae amechukua nafasi ya Gabby.

Game Plan.

Arsenal watakuwa wakiwaachia mpira Liverpool na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

Alexandre Lacazette ana kazi ya kuwachezesha mabeki wa Liverpool akiwavuta huku na kule ili kumpa nafasi Aubameyang.

Mohamed Elneny ana kazi ya kumchunga Firmino kila anapokwenda.

Goli mpaka sasa ni 0-0
 
Hii mechi lacazette anazingua hawapi pressure mabeki wa liverpool ili wafanye makosa
 
Dakika yaenda ni 23

Liverpool 0 Arsenal 0

Liverpool tayari wamegonga mwamba na Arsenal wameponea chupuchupu.

Lacazetteeeeeeeee

Arsenal 1 -0 Up
 
Thiago yupo nje ni majeruhi, na Jota nae yupo bench.

Arsenal inachezesha kikosi kilichocheza mechi ya ufunguzi wa ligi ukiondoa David Luiz ambae amechukua nafasi ya Gabby.

Game Plan.

Arsenal watakuwa wakiwaachia mpira Liverpool na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

Alexandra Lacazette ana kazi ya kuwachezesha mabeki wa Liverpool akiwavuta huku na kule ili kumpa nafasi Aubameyang.

Mohamed Elneny ana kazi ya kumchunga Firmino kila anapokwenda.

Goli mpaka sasa ni 0-0
Tushachinjaa jogoo hukuu anapigapiga miguu anakata roho
 
Back
Top Bottom