Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Offer ya Arsenal si nzuri sana kuliko ya Inter lakini Willian atakubali kwenda Arsenal kwa sababu ya Edu na Arteta.
Arteta anamhitaji Willian ili alete uzoefu.
Kwa kikosi hiko means iwe 4 2 1 3 attacking. Partey na Xhaka ni DMF Coutinho anasogea mbele kama AMF. Swali: Coutinho ana akili hiyo kwa kipindi hichi? Ozil imemshinda hii.Leno ushamnyang'anya namba
Mimi napenda mbele waanze PEPE AUBA WILLIAN
Hapa utapata pace ya uhakika ,
Nyuma yao wawekee Coutinho , xhaka na Partey
Kazi imeisha
Offer ya Arsenal si nzuri sana kuliko ya Inter lakini Willian atakubali kwenda Arsenal kwa sababu ya Edu na Arteta.
Arteta anamhitaji Willian ili alete uzoefu.
kapewa contract ya miaka mitatu kama sikosei lakini its not official , ila willian hatosh tunahitaji vyuma kweli kwelii
Ceballos hataki kuondoka. Specifically kasema 'Natumaini nitacheza angalau mechi 35' nafikiri anamaanisha ahakikishiwe kuanza na game time.Kama nilivyosema hapo juu Arsenal wanahitaji wachezaji watatu ili kutimiliza azma ya Arteta ya kucheza mtindo wa 4-3-3 msimu ujao
Na hao ni Willian, Coutinho na Patey.
Tukwapata hawa basi msimu ujao utanoga sana.
Hali ngumu ya hewa kifedha sasa kwa timu nyingi, inaruhusu kabisa malipo ya installments na majukumu hayo anayaweza bwana Raul Sanllehi pekee ambae ni mtaalam wa negotiations.
Aliweza kufanikisha dili za Pepe na milioni 72 hawezi kushindwa milioni 45 kwa Patey.
Sanllehi yuko busy mno kuna issue ya Ceballos bado tunamhitaji.
Hapo katika CB's sijui wewe unawaangaliaje hao mkuu, maana ukiwa makini tu utajua kuwaCeballos hataki kuondoka. Specifically kasema 'Natumaini nitacheza angalau mechi 35' nafikiri anamaanisha ahakikishiwe kuanza na game time.
Hivi kweli kabisa huko Spain, Ureno, France au Italy hamna watu wa kuifanya kazi tunayoililia kwa Willian na Coutinho? James Rodriguez hayupo kwenye mipango ya Madrid si turuke naye?
Tunahitaji ST mwingine. Auba atachoka, Martnell anahitaji kukomazwa. Achukuliwe Jovic, young na anajua goli.
Sielewi kwanini timu na mashabiki wote tumestuck kwa Willian na Coutinho. Na wote tumeganda kwenye kudai CB. Mari, Saliba, Sokratis, Luiz, Holding, Chambers, Mavropanos, na kuna dogo black wote hao CB.
Na Tierney juzi kachezeshwa CB. Niles kacheza RB kipindi chote Bellerin akiwa majeruhi. Saka kacheza kama LWB na kaperform. Hii timu haikukosa mabeki, ilikosa fighting spirit na viungo.
Na ukituskiliza Sisi wa humu jukwaani utadhani upemacano anasajiliwa keshoUpamecano kaongeza mkataba huko kwao. Kuna siku niliwaambia 'Ukiona mchezaji anahusishwa sana ujue huyo haji' ni kama Neymar na Barcelona, kama Carasco na Arsenal.
Kwahiyo Coutinho anaweza asije. Partey anaweza asije. Notice kwamba Man City kashasajili wachezaji 4, Chelsea 3, Tottenham anafukuzia saini ya mchezaji jina limenitoka na anafukuzia swap deal na Ndombele (walimnunua kwa shangwe)
Sisi kwa sasa ni wazi Europa inatupa jeuri ila Arteta alisema "Nikimhitaji mchezaji siwezi kuanza kumbembeleza kwamba aje kisa Arsenal ipo uefa au europa, nataka aje kwakua atakua proud kuichezea Arsenal" kwahiyo jamaa najua kuna wachezaji anfukuzia na siyo hawa wa rumours.
Kwa sababu tunamchukulia poa Guendouzi???Hahahah najua Barcelona, Man U na Leicester zinasemwa kumtaka Guendouz ila sikujua kama ni kwa kiasi hichi.
Sio kina upemacanoWasichokijua watu wengi ni kuwa, Arsenal for years, imekuwa ikitumika kama 'bango' la kuwanadi wachezaji sokoni ili wauzike ama wapate kandarasi nono kwenye vilabu vyao kwa hofu kuwa wanahitajika elsewhere.
Na hii ilitokana na Wenger kuaminika sana in his days kama mvumbua vipaji na mwenye jicho kali la kuona talented players, hivyo anapohusishwa na Arsenal vilabu vingine huanza kumtrack na automatically friction ya rumours inacreate 'ghost demand' inayoongeza burgaining power ya wakala wa mchezaji husika.
Players wanaosajiliwa Arsenal wala huwezi sikia wakitajwa tajwa kwa muda mrefu na huwa inakuja kama surprise flani, refer Auba, Ozil, Laca, Xhaka, Pepe, Luiz etc.
Watch: Arsenal transfer talk - Aubameyang offer, Coutinho, Partey, Willian latest and players to be sold https://t.co/kizqLg6lMMSio kina upemacano
Hapana. Nadhani work rate yake iwe kigezo cha kubakishwaNadhani Lacca awekwe sokoni, I like him lakini consistency yake ya ufungaji kama No. 9 hairidhishi, japo work rate yake iko juu.
Na pia anakuja kupunguza nafasi ya Martinelli. Tusubiri tuoneWillian dili ya hovyo hii, kuja kwa Willian maana yake Auba anaingia kati na Lacca atakuwa bench warmer,Hatumhitaji huyu ni bora Joelson wa Lisbon ambaye very promising.
Na ilikuwa ni bonge la mistake kumsajili LemarHapo shida sio Ozil mkuu, bodi ndo ilishindwa kunegotiate sababu iliingiza emotions kwenye issue za biashara, na Hizi negotiations kwa asilimia kubwa Wenger alikuwa anahusika,Nakumbuka mzee alituma £92m kwa Thomas Lemar kisa Sanchez anataka kwenda City ilikuwa january window,Sasa swala ni kwamba Lemar alikuwa anaworth hiyo price tagged?
Hizo ni story tu. Ozil remained loyal to the club throughoutKama walikuwa wanafanya ujasusi huo basi hafai, lkn mimi naona Sanchez alionesha wazi kuwa hataki kuendelea kuliko Ozil