Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo yupo vizuri sana
Mimi nikimzungumzia Matteo Guendouzi humu naonekana kama nina udugu nae. But one thing for sure, nina uoni wa mbali sana kuhusu players.

Serge Gnabry wakati anaondoka nilijua tumepoteza lulu. Sasa ndio itakavyokuwa kwa Guendouzi.

Discipline issue?? WTF!!!!!! Tunataka watu wa aina ya Guendouzi, wachezaji legelege si ndio waliotupigisha 8 kwa United?? Yaani tumewasahau wababe wa vita kina Vieira, keown na Parlour???

Subirini mtakuja sema
 
Soon
IMG-20200804-WA0009.jpg
 
Ceballos hataki kuondoka. Specifically kasema 'Natumaini nitacheza angalau mechi 35' nafikiri anamaanisha ahakikishiwe kuanza na game time.

Hivi kweli kabisa huko Spain, Ureno, France au Italy hamna watu wa kuifanya kazi tunayoililia kwa Willian na Coutinho? James Rodriguez hayupo kwenye mipango ya Madrid si turuke naye?

Tunahitaji ST mwingine. Auba atachoka, Martnell anahitaji kukomazwa. Achukuliwe Jovic, young na anajua goli.

Sielewi kwanini timu na mashabiki wote tumestuck kwa Willian na Coutinho. Na wote tumeganda kwenye kudai CB. Mari, Saliba, Sokratis, Luiz, Holding, Chambers, Mavropanos, na kuna dogo black wote hao CB.

Na Tierney juzi kachezeshwa CB. Niles kacheza RB kipindi chote Bellerin akiwa majeruhi. Saka kacheza kama LWB na kaperform. Hii timu haikukosa mabeki, ilikosa fighting spirit na viungo.
Mkuu dino kashasepa kwa mkopo
 
2020/21 Dates for your diary:

Monday 17th August
Arsenal return for pre-season training

Saturday 29th August
Community Shield v Liverpool

Saturday 12th September
Premier League season starts

Friday 2nd October
Europa League Group Stage Draw

No other dates at present.
Sijapenda kabisa hii ratiba na inaweza kuja kutucost kwa kupoteza players na hata kwa timu zingine mfano tarehe 29 August tuna big match ukizingatia tarehe 1 tumecheza Final mapumziko ni two weeks only
 
Two weeks? Mbona zinatosha sana
 
Mimi nikimzungumzia Matteo Guendouzi humu naonekana kama nina udugu nae. But one thing for sure, nina uoni wa mbali sana kuhusu players.

Serge Gnabry wakati anaondoka nilijua tumepoteza lulu. Sasa ndio itakavyokuwa kwa Guendouzi.

Discipline issue?? WTF!!!!!! Tunataka watu wa aina ya Guendouzi, wachezaji legelege si ndio waliotupigisha 8 kwa United?? Yaani tumewasahau wababe wa vita kina Vieira, keown na Parlour???

Subirini mtakuja sema
Guendoz ana ugumu gani we jamaa, labda ugumu wa maneno....
Mtoto laini sana yule akipewa mwili tu anatoka kwenye njia,
Kwa Gnabry kweli lakini Gue hapana, angeondoka Gabby ningesema kweli tumepoteza mtu mgumu sio huyu
 
Kwa sababu tunamchukulia poa Guendouzi???
Hahaha Chief ujue nilichosema juu ya stamina, control na speed bado kwangu vinamatter na nafikiri dunia nzima vinamatter so kwa player kama Guendouzi wanajua ni lazima awalie muda wa kukomaa kwanza so kwa hela nyingi hivyo inakua ngumu kutoa.
 
Guendoz ana ugumu gani we jamaa, labda ugumu wa maneno....
Mtoto laini sana yule akipewa mwili tu anatoka kwenye njia,
Kwa Gnabry kweli lakini Gue hapana, angeondoka Gabby ningesema kweli tumepoteza mtu mgumu sio huyu
Tupo hapa.

Haya ndio maneno yenu
 
Kimsingi auba apewe hiyo 250k anayotaka then tumchukue na partey akichafue pale Kati na Xhaka afu tumpe parmanent contract Dani cebaloss"the majestic" huku tukisikilizia deal la countinho
 
Kimsingi auba apewe hiyo 250k anayotaka then tumchukue na partey akichafue pale Kati na Xhaka afu tumpe parmanent contract Dani cebaloss"the majestic" huku tukisikilizia deal la countinho
Permanent contract kwa Dani inakua ngumu Madrid kuiruhusu kwakua wao wenyewe Kroos na Modric umri ndiyo unawaacha. Rodrygo siyo mtamu kihiiiivyo kwahiyo kumuachia moja kwa moja hata kama we ndiyo ungekua Madrid naamini usingekubali.

Ukizingatia Dani anaonyesha kiwango kizuri.
 
Back
Top Bottom