(4-3-3)
-MARTINEZ
-BELLE -SALIBA -LUIZ -TIERNEY
-CEBALLOS -PARTEY -XHAKA
-WILLIAN -AUBA - COUTINHO
SUB:
-Leno
-Pepe
-Lacazette
-Holding
-P. Mari
-Mustafi
-Maitland Niles
-Cedric
-Torreira
-Saka
Hivi kikosi kama hiki huyo mpinzani anatokea wapi?!
Yani hapo unaangalia mpira huku pembeni unashushia na kinywaji kabisa!
Pia wachezaji wafuatao wanatakiwa kuuzwa na Arsenal ili kuongeza fedha za kumaliza usajili wa Thomas Patey na Phillipe Coutinho, kwani Willian hana ada ya usajili.
Saed Kolasinac- Kuwepo kwa Bukayo Saka, Kieran Tierney na Maitland Niles kumemuweka Kolasinas kwenye wakati mgumu ingawa hutumiwa kwenye mechi muhimu pale inapohitaika kufunfa duka.
Kwa mshahara wake wa pauni 100,000 kwa wiki hakuna timu inaweza kumudu hivyo ataendelea kuwa mchezaji wa akiba.
Matteo Guendouzi- Arsenal walitaka kumuweka Guendouzi kwenye usajili wa Coutinho lakini Barcelona wamekataa. Hata hivyo PSG nao wameonyesha interest hivyo wanangojewa kuweka ofa.
Sokratis - Tayari yupo William Saliba
Lucas Torreira- Yupo nyuma ya Ceballos na Xhaka hivyo anataka kurudi Italy lakini kwa ofa ya maana Arsenal watakuwa tayari kusikiliza.
Mohamed Elneny - Anachezea timu ya besiktas kwa mkopo lakini timu hiyo kwa sasa ina matatizo ya kifedha. Arsenal itasikiliza ofa kutoka timu za Trabzonspor na Olympiacos.
Henrikh Mkhitaryan - Huyu analipwa 200,000 ka wiki na Arsenal akiwa Roma na atamalizia mkataba wake akiwa Roma.
Mesut Ozil- hakuna timu inamtaka Ozil kutokana na mshahara wake mkubwa na Arsenal wanafanya kila wawezalo ili aondoke ikiwemo mbinu ya kutompanga kwenye timu.
Lakini Ozil anamaliza mkataba wake mwakani.
Robert Holding
Calum Chambers- Fulham wameonyesha nia ya kutaka kumsajili.