Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Upo sahihi kabisa, na kwanini ofa zinakuja anazikataa anataka had mkataba wake uishe ndio asepeKwakweli hapana yule anapenda pesa... Hana cha kuipenda timu wala nini? Kwanini aliitia presha timu mpaka kuiingiza ktk bogus contract kama ile wakati timu ilikuwa ktk wakati mgumu wa kuondokewa na keyplayer wake Alexis Sanchez, kama anaipenda timu kwanini hakutulia kwanza kwa muda ule
Angekuwa analipwa 100k angebaki had sasa?


