Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu kwa maoni yako, hii move ya Willian unaichukuliaje?

Binafsi kwa kuzingatia umri wake na pia ndio tunaanza new era under Arteta, nisingependa wachezaji wenye umri wake. Isitoshe naona kama nafasi anayocheza haina mapungufu sana kwetu na kuna vijana so far wanaonesha matumaini.

Sijajua salary demand yake may be ndio kinacho tuvutia kwake kwa kuzingatia financial situation ya club.
Pepe,saka, Nelson,martinel wote hawa ni mawinga na ni vijana.

Sion vibaya akiongezeka experienced player mmoja

Japo mm ningependa tumpate Benrahma, Zaha ,depay

Ila huenda bajet kubwa inawekwa kwenye eneo la kiungo

Sema Willian anapiga RW NA LW

Ngoja tuone
 
Mkuu kwa maoni yako, hii move ya Willian unaichukuliaje?

Binafsi kwa kuzingatia umri wake na pia ndio tunaanza new era under Arteta, nisingependa wachezaji wenye umri wake. Isitoshe naona kama nafasi anayocheza haina mapungufu sana kwetu na kuna vijana so far wanaonesha matumaini.

Sijajua salary demand yake may be ndio kinacho tuvutia kwake kwa kuzingatia financial situation ya club.
Ni vizuri ukiwa na sub kama willian unajua akiingia anaweza badilisha matokeo na wakina wilock waende kwa mkopo wakapate uzoefu.
 
Ni vizuri ukiwa na sub kama willian unajua akiingia anaweza badilisha matokeo na wakina wilock waende kwa mkopo wakapate uzoefu.
Wazo lako ni zuri pia kwa kuwa kwenye nafasi anayocheza Willian, hatuna watu walio komaa wote ni makinda, ngoja tuone naamini Arteta yuko vema kama amependekeza hivyo yawezekana kuna faida tusizoziona sisi mashabiki kwa haraka.
 
Sioni umuhimu wa Willian kwa Arsenal ambayo idea yake ni kujijenga. Niles ashikishwe mikoba asiuzwe kwanza.

Ama la atafutwe Depay.
 
Sioni umuhimu wa Willian kwa Arsenal ambayo idea yake ni kujijenga. Niles ashikishwe mikoba asiuzwe kwanza.

Ama la atafutwe Depay.
Hata me nilifikiri hivyo in the first place, unless iwepo budget ya kutosha kupata pia creative defensive midfielder na central defender.
 
Nadhani Lacca awekwe sokoni, I like him lakini consistency yake ya ufungaji kama No. 9 hairidhishi, japo work rate yake iko juu.
Laca anatakiwa abaki.

Sababu iliyopelekea jamaa ashindwe kuwa na consistency nzuri msimu huu ni kutokana na majeraha aliyoanza nayo, ukizingatia pia kwa ujumla timu ilikuwa na kiwango kibovu sana mwanzoni mwa msimu.

Kama mnakumbuka tumepitia transition period ya makocha wa3 tofauti na wote walikuja na falsafa zao.
Kwahiyo kulikuwa na dilemma kubwa kwa wachezaji.
Ikapelekea mpaka Xhaka kuvua jezi uwanjani na kusema anataka kusepa.
Pepé mwenyewe akaona ni balaa gani hili nimeliingia!

Lakini uzuri tumemaliza msimu vyema. Naiona chemistry nzuri iliyojijenga sasa kwenye timu. Ni kiasi cha muda tu, ngoja tusubiri tuone improvement ya timu.

Ukitaka kuamini maneno yangu wee subiria uone msimu huu wa 2020/21
 
Wakati mwingine dunia huwa sio fair kabisa, yaani yule goigoi Ozil anachukua £350,000/= kwa wiki then Auba anabembeleza alipwe £250,000/= kwa wiki bado club inasua sua, na hatupo Uefa ila jamaa anatuvumilia, Auba akiondoka hatuna cha kumlaumu hata kidogo.

Hivi vimishahara mbuzi vinatufanya tupokonywe silaha zetu kila siku, Striker anaye contribute 30+ (goals + assists) kwa msimu tena kwenye timu mbovu kama yetu, akienda timu iliyokamilika ni balaa tupu.

Tukimpoteza Auba kupata striker wa kiwango chake labda tumuombee Martinelli awe na hiyo consistence, otherwise hatuna jeuri ya kumpata sokoni.
Wanapoteaga mkuu wakihama timu, kwa jinsi Sanchez alivyokuwa anaujua mpira kipindi yupo Gunners sikuamini km angepotea hivi.
 
ARSENAL INAKARIBIA KUMNASA WILLIAN

Willian has refused another bid from Chelsea to extend his contract until June 2022. Still no agreement. Arsenal are now in talks with his representatives to sign him as a free agent - no bids from Barcelona at the moment. #AFC #CFC #transfers

Fabrizio ROMANO
Willian dili ya hovyo hii, kuja kwa Willian maana yake Auba anaingia kati na Lacca atakuwa bench warmer,Hatumhitaji huyu ni bora Joelson wa Lisbon ambaye very promising.
 
Wanapoteaga mkuu wakihama timu, kwa jinsi Sanchez alivyokuwa anaujua mpira kipindi yupo Gunners sikuamini km angepotea hivi.
Dah Sanchez utafikiri sio yeye aliyekuwa anakiwasha pale Emirates, ila kwa ile offer ya salary ya United sikumlaumu ukizingatia umri wake alikuwa anatafuta mkataba wa kustaafia, sisi tusingeweza kumudu.
 
Ni vizuri ukiwa na sub kama willian unajua akiingia anaweza badilisha matokeo na wakina wilock waende kwa mkopo wakapate uzoefu.
Willian hawezi kukaa bench mkuu, kule The blues anakimiba bench, unadhani anakuja Arsenal kukaa bench?
Hawa Wazee tuachane nao tuchukue fresh blood
 
Ozil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.
Tatizo anaonekana sasa hivi anazingua,maana hataki kuondoka na ofa zinakuja

Kisa aendelee kula ile 350k per week
 
Ozil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.
Kwakweli hapana yule anapenda pesa... Hana cha kuipenda timu wala nini? Kwanini aliitia presha timu mpaka kuiingiza ktk bogus contract kama ile wakati timu ilikuwa ktk wakati mgumu wa kuondokewa na keyplayer wake Alexis Sanchez, kama anaipenda timu kwanini hakutulia kwanza kwa muda ule
 
Willian hawezi kukaa bench mkuu, kule The blues anakimiba bench, unadhani anakuja Arsenal kukaa bench?
Hawa Wazee tuachane nao tuchukue fresh blood
Hakimbii bench, anataka mkataba wa miaka mitatu,

Wao wanampa miwili

Arsenal wamemuofa mitatu na mshahara wa 120k per week
 
Back
Top Bottom