DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Hivi unaijua vizuri £350k/week mkuu? [emoji23]Özil ni Arsenal Fan ni mtu anayefanya kazi ya nyumbani kwa moyo, japo akikosea watu humjia juu. Same kwa Xhaka, Shkodrani, Bellerin, Kolašinac, Chambers kwa namna Arsenal na Supporters wanavyo-treat hawa watu wangelikuwa wameondoka lakini wamebaki sababu ya loyalty na solidarity.