Yuzo mawe
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 494
- 551
Amini mzee maana wanaona Kama tunafaidi vile afu isitoshe watatupiga hela ndefu kwa daniPermanent contract kwa Dani inakua ngumu Madrid kuiruhusu kwakua wao wenyewe Kroos na Modric umri ndiyo unawaacha. Rodrygo siyo mtamu kihiiiivyo kwahiyo kumuachia moja kwa moja hata kama we ndiyo ungekua Madrid naamini usingekubali.
Ukizingatia Dani anaonyesha kiwango kizuri.
