Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sokratic anatakiwa asepe,
Dinno injury prone
Mustafi hasomeki leo anachemsha kesho anakaanga
Luiz umri umeenda, atatumika kwa muda mfupi tu,
Pablo yupo slow sana naamini kuna game hazitomwitaji, yupo kama BFG

Mabeki tegemeo ni Holding na Saliba ambaye hatuna uhakika kama atawahi kuchanganya na kwenda sawa na mazingira mapya, kupata beki mwingine mwenye quality ni lazima
Upo sahihi kabisa ,beki mmoja muhimu
 
LS | Arsenal close on signing Chelsea winger Willian on a free transfer & Barcelona midfielder Philippe Coutinho on a one-year loan deal. Details soon.

Arsenal also close on re-signing Dani Ceballos on another loan year. Details soon.

https://t.co/ToMSJzVW45
 
Willian closer to Chelsea exit after rejecting latest offer of two-year deal. Arsenal hope to sign the Brazil international. [@guardian]
 
Arteta after FA Cup final win: "We don't have here Matteo (Guendouzi) and Mesut (Ozil) but they're a big part of it because they all contributed in here. They all should be a big part of it. All of them contributed to this trophy." [@SkySportsNews]
 
Arsenal are thought to be the front runners due to Willian's desire to remain in London and play at the highest possible level. [@goal]
 
Nashangaa kwakua tuna mabeki wengi bado. Na kama shida ni hawa wengine umri unaenda kwanini tumfuate 27yrs? Tuna beki ana roho mbaya, Holding. Ni kiasi cha game time tu.
Inasemekana wanataka Arsenal inataka kuaxhana na Luiz, sokratis, Holding, Mustafi na Kolasinac msimu huu. Labda huyo kocha kaona anaweza ziba vyema oengo la hao watakaoondoka
 
Ceballos amesema anatamani acheze mechi angalau 35 msimu ujao. Nafikiri anamaamisha anahitaji kuhakikishiwa nafasi kwenye first 11. Which when done naamini anabaki. Sijui kwanini Madrid wanatubania huyu mtu.
 
Inasemekana wanataka Arsenal inataka kuaxhana na Luiz, sokratis, Holding, Mustafi na Kolasinac msimu huu. Labda huyo kocha kaona anaweza ziba vyema oengo la hao watakaoondoka
Kolasinac, Mustafi, Luiz na Sokratis wanaweza enda ila Holding? Mi sina cha kusema
 
The Standard say Arteta wants to resolve Aubameyang’s future before stepping up his #Arsenal rebuild this summer. A new deal for Aubameyang is likely to cost Arsenal £40m over 3 years, with his pay due to rise to from £180,000-a-week to £250,000-a-week. New Aubameyang contract could cost Arsenal £40m over three years
Wakati mwingine dunia huwa sio fair kabisa, yaani yule goigoi Ozil anachukua £350,000/= kwa wiki then Auba anabembeleza alipwe £250,000/= kwa wiki bado club inasua sua, na hatupo Uefa ila jamaa anatuvumilia, Auba akiondoka hatuna cha kumlaumu hata kidogo.

Hivi vimishahara mbuzi vinatufanya tupokonywe silaha zetu kila siku, Striker anaye contribute 30+ (goals + assists) kwa msimu tena kwenye timu mbovu kama yetu, akienda timu iliyokamilika ni balaa tupu.

Tukimpoteza Auba kupata striker wa kiwango chake labda tumuombee Martinelli awe na hiyo consistence, otherwise hatuna jeuri ya kumpata sokoni.
 
Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?
 
Kolasinac, Mustafi, Luiz na Sokratis wanaweza enda ila Holding? Mi sina cha kusema
Kwa kweli hat mimi sidhani kama holding anaweza kuondoka. Huyu na Chambers ni wa muhimu sana kwetu, sema tu injury imewaandama
 
Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?
Kabakiza mwaka tu, huu wa 2020/2021 ndio mwaka wake wa mwisho. Tatizo kumtoa ni vigumu sana, ukizingatia kutojituma kwake, salary yake na nadhani kitu kingine cha hovyo alichojihusisha nacho ni issue za politics mfano ile issue ya waislamu kule China.

Angalau angeweza kuuzwa huko kirahisi ila ndio kazingua, kwa ligi ya Marekani (Major League) ni vigumu kutokana na issue za covid-19. In short jamaa ni mzigo usioshushika kwa Arsenal.

Niliona agent wake anasema, "Ozil will see off his contract at Arsenal, he will be 31 next year and he will be a free agent...its a good situation" yaani yeye na agent wake wameridhika hata akikaa bench ilimradi anabeba marundo ya hela haina shida, nadhani ndio maana hata hajitumi anajua hafukuziki.
 
ARSENAL INAKARIBIA KUMNASA WILLIAN

Willian has refused another bid from Chelsea to extend his contract until June 2022. Still no agreement. Arsenal are now in talks with his representatives to sign him as a free agent - no bids from Barcelona at the moment. #AFC #CFC #transfers

Fabrizio ROMANO
 
Kwa kweli hat mimi sidhani kama holding anaweza kuondoka. Huyu na Chambers ni wa muhimu sana kwetu, sema tu injury imewaandama
Holding is good, ila kwa kocha mpya anayehitaji kujenga kikosi na falsafa mpya ni vigumu sana kumvumilia mchezaji aliye injury prone kwa kiwango kile, nadhani hiki ndicho kitamcost.

Kwa defender pamoja na mambo mengine, anatakiwa kuwa na sifa ya kuingia kwenye mazingira ya hatari kufanya defensive role na kutoka akiwa hana card wala injury.

Kitendo cha kuumia mara kwa mara kinamaanisha ama hana umakini wa kutosha au ana poor/bad decision making vyote hivi ni gharama kwa team. Anaweza iacha timu ikicheza pungufu kwa kula umeme (red card) au kuiingiza kwenye unnecessary sub na hivyo kuvuruga game plan yote.
 
Willian to Arsenal muda wowote kuanzia sasa
IMG_20200803_154031.jpg
 
Holding is good, ila kwa kocha mpya anayehitaji kujenga kikosi na falsafa mpya ni vigumu sana kumvumilia mchezaji aliye injury prone kwa kiwango kile, nadhani hiki ndicho kitamcost.

Kwa defender pamoja na mambo mengine, anatakiwa kuwa na sifa ya kuingia kwenye mazingira ya hatari kufanya defensive role na kutoka akiwa hana card wala injury.

Kitendo cha kuumia mara kwa mara kinamaanisha ama hana umakini wa kutosha au ana poor/bad decision making vyote hivi ni gharama kwa team. Anaweza iacha timu ikicheza pungufu kwa kula umeme (red card) au kuiingiza kwenye unnecessary sub na hivyo kuvuruga game plan yote.
Kweli kabisa!. Ngoja tuone kocha atakuwa na maamuzi gani!
 
ARSENAL INAKARIBIA KUMNASA WILLIAN

Willian has refused another bid from Chelsea to extend his contract until June 2022. Still no agreement. Arsenal are now in talks with his representatives to sign him as a free agent - no bids from Barcelona at the moment. #AFC #CFC #transfers

Fabrizio ROMANO
Mkuu kwa maoni yako, hii move ya Willian unaichukuliaje?

Binafsi kwa kuzingatia umri wake na pia ndio tunaanza new era under Arteta, nisingependa wachezaji wenye umri wake. Isitoshe naona kama nafasi anayocheza haina mapungufu sana kwetu na kuna vijana so far wanaonesha matumaini.

Sijajua salary demand yake may be ndio kinacho tuvutia kwake kwa kuzingatia financial situation ya club.
 
Back
Top Bottom