Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu kipa sioni haja ya kumtoa kwa kiwango chake kwa sasa.
Leno akipona asotee benchi tu kwanza huyu mwana ni ana qualities sana
Jamaa anajua na atampa leno ushindana, afu kajifunza kwa Leno kujiamini, huyu anacheza safi sn ile mipira ya kupasiana ndani ya box.
 
Kuna Siku kuna mtu humu alilalamika sana kwanini mechi ya Liverpool na man city tulicheza sana Defensive game

Tulimwambia ni sababu ya Quality players walionao ,hatuwez kufunguka muda wote

Lakini hawa kina Chelsea ,man u hawana Quality players kama Liverpool na city

Ndio maana tulipokutana nao hata sisi tumefunguka

Nadhani Leo atakuwa ameelewa
 
Kwema kaka

Jezi zimekuwa adimu sana , zikija,oda inakuwa kubwa zinaisha fasta

Sasa niambie unavaa Size gani, ili zikija tu niweke pembeni

Na uniambie upo mkoa gani, kama Dar itakuwa fresh
Niko Dodoma mkuu
Kuhusu size nashindwa kusema ila kikubwa cha kunote navaa size moja na Joti mchekeshaji .

Sasa sijui waweza kupatia size yangu
Maan t shirt kama manga au hot base huwa navaa large i mean size baada ya medium.

Lkn pia ungeniambia mzigo waingia ln nakupm namba yangu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa mwezi huu tuna kibarua cha ngao ya hisani na Liva. Unadhani watakubali kuchinjwa mara ya pili? Au Arsenal iharibu sherehe ya ubingwa?

Ni jingine la kulisubiri hili
Anachinjwa liva kama kawa
 
Niko Dodoma mkuu
Kuhusu size nashindwa kusema ila kikubwa cha kunote navaa size moja na Joti mchekeshaji .

Sasa sijui waweza kupatia size yangu
Maan t shirt kama manga au hot base huwa navaa large i mean size baada ya medium.

Lkn pia ungeniambia mzigo waingia ln nakupm namba yangu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nitakujuza kesho , kaka usiwaze , kama ni size baada ya medium. Basi utapata

Ni pm namba. ,nikifanikisha nikujuze tufanye delivery
 
Back
Top Bottom