Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safi sana point 3 muhimu sasa tuendeleze ushindi jumatano tutakapokutana na man city.i hope wenger hatofanya mabadiriko ya ajabu.
 
The most important is tume-keep a clean sheet. That's an improvement.
 
The most important is tume-keep a clean sheet. That's an improvement.
Hili nalo muhimu kwa sababu jinsi ligi inavoenda inawezekana mshindi akapatikana kwa goal differences.
 
...pamoja wakuu!
Mwaka mpya mambo mapya, jirani yetu wa Chelsea keshapitwa na Spurs saa hii,
kwa mtaji huu wa mchuchumio, huenda wakaliwakilisha Daraja kwenye EUROPA cup ha ha ha...:whoo:
 
Safi sana point 3 muhimu sasa tuendeleze ushindi jumatano tutakapokutana na man city.i hope wenger hatofanya mabadiriko ya ajabu.

Miye naamini tunaweza kabisa kuwachapa kama hakutakuwa na usanii wa kupanga timu utakaofanywa na AW. Na pia tukumbuke wana usongo sana na sisi baada ya kuwaadhiri kwao katika mchezo wa kwanza.
 
Mmeshinda leo basi wiki nzima hatunywi maji huku jamvini mwa spoti. Mijitu nyie mnaongeaaaaa, agrrrrrrrrr!
 
Mmeshinda leo basi wiki nzima hatunywi maji huku jamvini mwa spoti. Mijitu nyie mnaongeaaaaa, agrrrrrrrrr!
Kunywa hata bia tu mkuu, mbona sisi kushinda kawaida kabisa? So far tumeshinda mechi 12 katika mechi 20.
Sema jukwaa letu lina majeshi halisia sio plastic fans kule Chelsea na Liverpool timu ikifanya vibaya wameingia mitini, sisi tukishinda tupo hapa kupongezana na tukishindwa tupo hapa kujadiliana.
 
Mmeshinda leo basi wiki nzima hatunywi maji huku jamvini mwa spoti. Mijitu nyie mnaongeaaaaa, agrrrrrrrrr!

C'mon big fella, supporters are a family, you cheer a good win and discuss the ups and downs.

If not what's this forum for?
 
Mmeshinda leo basi wiki nzima hatunywi maji huku jamvini mwa spoti. Mijitu nyie mnaongeaaaaa, agrrrrrrrrr!

Toa basi hata pongezi! kwa ushindi wetu wa leo. Siye huwa wepesi sana kuwapongeza lakini nyie mhhhhhhh!
 
Mmeshinda leo basi wiki nzima hatunywi maji huku jamvini mwa spoti. Mijitu nyie mnaongeaaaaa, agrrrrrrrrr!

hahahahaaa

Kumbe wewe unapenda arsenal wafungwe ili wiki nzima tusimywe maji

Nimesoca article moja moja kwenye website nimecheka sana kaitembelee uone
...........Only poor finishing and a couple of fine saves from Ben Foster kept the scoreline respectable......... .........

Football365 | Premier League | Birmingham City News | Birmingham 0 Arsenal 3
 
Apo sasa. Just imagine ndo tungekuwa manure, basi ingekuwa talk of the weekend kwa ma pundits wa Sky sports na BBC kuwa tunapendelewa.

Wacha donge wewe refa kawabeba na kubania penalty ya kwanza lakini ya pili imebidi atoe tu, mtabebwa mpaka lini wakati hambebeki? Manure mpira kwishnei Roooney limping baada ya kibabu kumaliza sub zake ilibidi arudi uwanjani just kuonyesha how desperate you are?
 
Justice was served tulivyonyimwa penalty na sie ama ukuona?
Waungwana wote wa jukwa hiili happy new yeat.
 
This showa how important Djohan Djourou is, after stopping Drogba from scoring, He then provided us a clean sheet s'thing rare to happen in Arsenal todays football. Jana Kasaidia Kuwezesha hili tena to a team than drew with Man U...Coming to Wed match I think AW will stick with this Winning Team. B'Ham had only 1 attempt on Target and only 1 attemp off target and This is a defense I love. So tevez will not harm us as Drogba. Viva Djohan. It was 3 goals 3 points game.........More to come.....
 
<p>
Justice was served tulivyonyimwa penalty na sie ama ukuona? </p>
<p>Waungwana wote wa jukwa hiili happy new yeat.
</p>
<p>&nbsp;</p>
Dont waste ur energy kubishana na hyu Gonaz, haangalii mpira ila bidae anaenda The Sun na Daily Mail kucheki post game analysis/discussion. Ndo yaleyale, kunya anye kuku, akinya Bata......'.
BTW hongeren kwa kaushindi kenu nyie watu.
 
Majirani 3-3, walishangilia Terry alipopiga la 3, wakadhani ngoma imeisha....duuuh, nikacheki yahoo nikakuta kitu hiki

GOAL!! UNBELIEVABLE!! Marc Albrighton lifts in a teasing cross to the far post and Ciaran Clark beats a static Chelsea defence and heads past Cech
 
Toa basi hata pongezi! kwa ushindi wetu wa leo. Siye huwa wepesi sana kuwapongeza lakini nyie mhhhhhhh!
Arsenal ni klabu ya watu wastaarabu sana, hawana choyo ya shukrani kwa wapinzani wao kama vile Man U na Chelsea..watu kama akina BAK, AW, Mbu, Mokoyo etc etc

I love Arsenal team and fans as well
 
naona wapinzani wetu washaanza kupigana kwenye mazoezi lol.ade na kolo kesho wenger atawapatanisha lol.
transparent.gif

naona wapinzani wetu washaanza kupigana kwenye mazoezi lol.ade na kolo kesho wenger atawapatanisha lol.
transparent.gif

Hii timu disipilini zero kabisa, mara Tevez kagombana na Meneja, mara Yaya, leo mara Kolo yaani utasema labda ni timu ya Sunday pub. Mechi bado wao wameanza kukunjana mashati, nahisi safari ya kurudi Manchester kesho baada ya kichapo itakuwa veere intarestingi.
 
Back
Top Bottom