Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona cramp zimeanza mapema Toure tayari City wamechoka kipindi cha pili kama spidi ni hiihii watakufa kabisa!
 
nomaaaaaaaaaa sana tulitakiwa tuwe na goli moja tayari atleast ingetusaidia sana kipindi cha pili.

mancini kipindi cha pili akimleta adam johnson dogo atatusumbua sana na pace yake.
 
nomaaaaaaaaaa sana tulitakiwa tuwe na goli moja tayari atleast ingetusaidia sana kipindi cha pili.

mancini kipindi cha pili akimleta adam johnson dogo atatusumbua sana na pace yake.
Mkubwa mii naona 2nd half tutawanyuka tu japo bao 2, tulikwenda na gea ya tano city walikuwa wanafukuza kivuli aisee, kama tutaendelea na same tempo ya kipindi cha kwanza nina hakika tutashinda.
 
wana arsenal naona tumechesza vizuri 1st half

Hivi Kuna mchezaji yeyote anaondoka january hii ?
 
Mkubwa mii naona 2nd half tutawanyuka tu japo bao 2, tulikwenda na gea ya tano city walikuwa wanafukuza kivuli aisee, kama tutaendelea na same tempo ya kipindi cha kwanza nina hakika tutashinda.

tutafute goli mapema ndio muhimu.
 
Hawa citeh mnawachelewesha mtakuja kujuta... Maana naona mnataka gonga mpaka nyavuni.
 
Huyu aRSHAVIN AMEKUWA VERY SLOPPY CJUI KWANINI? ANAPOTEZA PASI OVYO KWANINI WENGER ALIMUINGIZA?
 
Back
Top Bottom