Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Unakumbuka wiki tatu zilizopita Baloteli aligombana na Boateng mazoezini. Hii timu bado sana,hata nne bora naona bado ni ndoto. Hapa no 2 wamewashikilizia tu wenyewe Man u.Hii timu disipilini zero kabisa, mara Tevez kagombana na Meneja, mara Yaya, leo mara Kolo yaani utasema labda ni timu ya Sunday pub. Mechi bado wao wameanza kukunjana mashati, nahisi safari ya kurudi Manchester kesho baada ya kichapo itakuwa veere intarestingi.