Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona Van Persie anadaka mpira ndani ya Arsenal box lakini refa hatoi penalty?!! Arsenal wanabebwa?!
 
ndio mpira huo mkuu leo kwako kesho kwa mwenzio.ukiona mtu analia lia na refa ndio ushabiki huo baada ya kukosa ulichokitaka si unajua hata makocha nao wanatabia hio sio mashabiki peke yao.

hatuna zaidi ya kulia lia fifa hawataki technology kwenye mchezo wao lol.
 
Mkuu hivi unadhani blatter hapendi technology. Ambacho hapendii lakini hasemi ni kulinda ajira hasa za marefa. Ukilte teknology miaka michache utaona hakuna haja ya linesman baadaye hata marefa ajira zao na profeesion yao itakuwa hatarini
 
ndio mpira huo mkuu leo kwako kesho kwa mwenzio.ukiona mtu analia lia na refa ndio ushabiki huo baada ya kukosa ulichokitaka si unajua hata makocha nao wanatabia hio sio mashabiki peke yao.

hatuna zaidi ya kulia lia fifa hawataki technology kwenye mchezo wao lol.

Angalau mtapunguza kulialia kwamba wengine wanabebwa.
 
Hehe refa kawabeba au hajawabeba? I say soft award.
Apo sasa. Just imagine ndo tungekuwa manure, basi ingekuwa talk of the weekend kwa ma pundits wa Sky sports na BBC kuwa tunapendelewa.
 
Nasriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii safi sana la tatu sasa tufunge biashara.
 
Miye nakwambia kikosi hiki cha mashambulizi hatari tupu! Tunaweza kuiadhri timu yoyote ile kwenye EPL lakini kile kilichocheza na Wigan Mhhhhhh!

Abdulahim sijui yuko wapi leo manake anapenda sana kuangalia gunners style yetu sema ua anatugeuka tukifungwa lol.
 
Hawa brum naona wako for the taking naona kama sio kosakosa za kijinga hivi sasa Hesabu ingesomeka 7-0.
 
Back
Top Bottom