Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Which two wrongs? These are the same referees who operates with same rules unless its your team then its right. You drew at St. Andrews same as us its not that we lost a match, (i.e lost two points but the difference is that the referee favoured Wigan) I'm just pointing out to you that there isn't any justice in so many times when your team is involved but you turn a blind eye when its on our side.

Kuwahi kutufunga sio tatizo kwani Arsenal hajawahi kuwafunga? Take your pills mate!
Tumetoa draw na brum baada ya wao kubebwa na refa kwenye equalising goal lao (offside,handball na foul kwa rio)..Kila timu inapata calls for and against them inategemea unatumiaje hizo calls. Kuhusu mechi na spurs whether nani angefunga au asingefunga spurs wasingesawazisha ndio maana walikaa kimya baada ya mechi..point hapa ni kuwa mmetoa draw na 10-man inferior team.
 
...kila la kheri wakuu.

~2011~

from,

Mbu & family!
 
Kumbe wewe ni mwepesi wa kusahau, unakumbuka mechi yenu na Spurs ...... .....pics kwenye thread yenu ....

Haya game na Spurs tumebebwa ,game na Birmingham wao wamebebwa, ndio maana nimekwambia kila timu inabebwa

On your dreams mate. 30th April ndio utajua zipi ni mbivu usitegemee kumpata M. Dean khe khe kheeeeeeee
.

Haya maneno kila kabla ya game unayarudia mkifungwa unasingizi tumebebwa, kama Mr Bean ataendelea kuwa kocha wenu mtegemee vichapo kutoka Man U
 
Haya game na Spurs tumebebwa ,game na Birmingham wao wamebebwa, ndio maana nimekwambia kila timu inabebwa

.
Haya maneno kila kabla ya game unayarudia mkifungwa unasingizi tumebebwa, kama Mr Bean ataendelea kuwa kocha wenu mtegemee vichapo kutoka Man U
Hivi refa anapofanya makosa kwa uzembe wake na kusababisha athari kwa timu pinzani, anakuwa amekusudia kubeba timu kweli? Basi football haina maana kama refa anabeba timu na kila mtu anajua hivyo.
 
Hivi refa anapofanya makosa kwa uzembe wake na kusababisha athari kwa timu pinzani, anakuwa amekusudia kubeba timu kweli? Basi football haina maana kama refa anabeba timu na kila mtu anajua hivyo.
Mbele ya macho ya washabiki wengi marefa hawafanyi makosa (human error) especially wakiwa wanachezesha mechi za man utd.
 
Mbele ya macho ya washabiki wengi marefa hawafanyi makosa (human error) especially wakiwa wanachezesha mechi za man utd.

fergie.jpg

...Happy New Year... :whoo:​
 
heri ya mwaka mpya wakuu wotee.nawatakia mwaka wa mafanikio na mungu hawajalie kufanikisha malengo yenu yote.
 
heri ya mwaka mpya wakuu wotee.nawatakia mwaka wa mafanikio na mungu hawajalie kufanikisha malengo yenu yote.

Na wewe pia Mkuu na Wakuu wengine wote wa kijiwe hiki. Nawatakia kila la heri na baraka katika mwaka huu wa 2011 muwe na afya njema na wote wale muwapendao, furaha, hekima, amani na mafanikio tele katika yale mliyoyakusudua kuyafanya mwaka huu.

AW nasubiri game, hii game ni ngumu kama wa jina wako akipanga ile timu iliyowadhalilisha Chelsea basi ushindi utapatikana lakini akifanya usanii wake basi nina wasiwasi tunaweza kuuanza mwaka kwa kipigo au sare nyingine.

HAPPY NEW YEAR

tuko pamoja wakuu,wenger karudisha kikosi chake kafanya change 8 tena lool.

fabianski,clichy,koscienly,djouro,sagna,song,wilshere,fabregas,walcott,nasri,van persie.
 
Leo hatutakiwi kufanya maoksa kama ya mechi iliyopita timu kama hizi zikikutangualia kufunga noma sana.
 
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal van persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee is baaaaaaaaaaaaaaaaack
 
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal van persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee is baaaaaaaaaaaaaaaaack

Wafunge nyingine mbili kabla ya halftime ili kutofanya makosa kama ya juzi. Lazima tuendelee kula sahani moja na MANU na MAN CITY.
 
Hehe refa kawabeba au hajawabeba? I say soft award.
 
Back
Top Bottom