Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao kenge waliobaki ni suala tu LA kusubiri muda ufike tukachukue kombe letu
 
Tumebebwa na bahati.

Kama unataka kujua kuhusu bahati basi ni leo. Mustafi alitoa boko la wazi.

Angalia hii Man City kapiga shots 16 na ni 1 tu on target. Arsenal kapiga 4 yote on target na magoli 2. Kama siyo bahati ni nini?

Pepe alikua shit, angeweza kuscore ila mvivu.

We are doing fine.
Iwe bahati Iwe ni I suala tulishaingia final na waliopo hawanitishi Sina Habari,
Na hii bahati ije na siku ya final
 
Tumebebwa na bahati.

Kama unataka kujua kuhusu bahati basi ni leo. Mustafi alitoa boko la wazi.

Angalia hii Man City kapiga shots 16 na ni 1 tu on target. Arsenal kapiga 4 yote on target na magoli 2. Kama siyo bahati ni nini?

Pepe alikua shit, angeweza kuscore ila mvivu.

We are doing fine.
Mkuu mbona una underestimate uwezo wa Arsenal kwa sasa?, juzi tumewafunga Liverpool kwa bahati na leo tumewafunga Mancity kwa bahati pia?
 
4 - Pierre-Emerick Aubameyang is the fourth Arsenal player to score a competitive brace at Wembley Stadium, after Reg Lewis (1950 FA Cup final), Charlie Nicholas (1987 League Cup final) and Alexis Sánchez (2015 FA Cup semi-final). Stage. #EmiratesFACup https://t.co/YN0mB5WdZt
 
Tumebebwa na bahati.

Kama unataka kujua kuhusu bahati basi ni leo. Mustafi alitoa boko la wazi.

Angalia hii Man City kapiga shots 16 na ni 1 tu on target. Arsenal kapiga 4 yote on target na magoli 2. Kama siyo bahati ni nini?

Pepe alikua shit, angeweza kuscore ila mvivu.

We are doing fine.
Hakuna bahati hapo ndugu ,ni tactical tu

Arteta alishasema city na Liverpool wametuzid Quality. Hivo hatuwez kucheza nao Pass

Uliona kwa Spurz tulimpigia pass na possession 80 kwa 20
 
Mkuu mbona una underestimate uwezo wa Arsenal kwa sasa?, juzi tumewafunga Liverpool kwa bahati na leo tumewafunga Mancity kwa bahati pia?
Namshangaa Sana huyo jamaa, watu wanashinda kwa game plan, Sasa yeye azidi kuomba bahatj hivyo hivyo unafikiri Arteta angesema na yeye afhnguke hiyo bahatj anayoizhngumzia hapa angeisema? Comment nyingine unaziangalia tu then unapita shaaaaaaah
 
Jamaa nimemshangaa sana huwez kufunguka kwa Liverpool na city ukapona

Kama kumiliki mpira asubiri mech zijazo tupo na kina astonvilla na Watford

Kwanza tushukuru Arteta ana sura mbili ya kuzuia na kupossess
 
Narudia tena Nadhan mmeelewa why Niles alianza

Arteta mech na Wolves ,baada ya Adama kusumbua sana aligundua anahitajika mtu mwenye mguu wa kulia ,na alipoingia Niles ukawa mwisho wa Adama kutusumbua

Leo Mahrez vile vile kapoteana

Foden akahama upande

Wengi walishangaa why anamuacha nje kola na Saka ambao hizo ndio nafas zao
 
Hakuna bahati hapo ndugu ,ni tactical tu

Arteta alishasema city na Liverpool wametuzid Quality. Hivo hatuwez kucheza nao Pass

Uliona kwa Spurz tulimpigia pass na possession 80 kwa 20
Final timu uende ikasimame tu isubiri bahati aje kushinda😂😂😂😂😂
Mtu unashindwa kupongeza timu kwa plan waliyoingia nayo, kwa clearence walizofanya mabek walikuwa bize muda wote, alafu simple tu unasema bahati, khaaa Luiz akikusikia anawez a kukuzaba kibao
 
Back
Top Bottom