Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1595106611605.png



1595106648952.png


1595106694142.png



1595106721061.png


1595106749002.png


1595106775206.png


1595106801178.png


1595106825605.png


1595106859920.png


Pepsi leo hata mpira alikuwa haangalii.
Safi sana naona Covid-19 imebadili mambo .... ..

 
Wazee mimi nashabikia mpira as a whole, sibinywi na kua shabiki wa Arsenal.

Kuna vitu vingi hua watu wanavibypass simply kwakua utimu umewashika. Kuna member mmoja alikua anaponda formation ya 3 4 1 2 na nikawa namuambia kwanini tumeresort kwenye hiyo.

Leo Arteta anatumia hiyo hiyo na anaipigia debe kwa nguvu zote. Mara zote mimi hujaribu kuona zaidi ya ushabiki.

Kama ni mbinu ile mechi na Liva bila Virgil kupiga back pass tuliku na plan nyingine? Uliweza kuhisi kama kuna plan pale?

Anyway kila mtu yuko entitled na mawazo yake
Unajibinya mwenyew mkuu, Hakuna anayeendekeza utimu, tungeendekeza utimu tungesema Arsenal ni bora kuliko Liver na City ila kwa sasa hivi ukweli ulivyo ubora wa wachezaji wetu huezi fananisha na Hao wenzetu wametuzidi pakubwa.
Hivi hawa viungo wetu yupi anawez a kuanza pale City? Kwa kulitambua Hilo lazima uwe na plan ya ushindi, ondoa suala LA bahati hapo Ile ni vita.
 
Nikiwa naijaj Arseanl hua naifananisha na Arsenal ambayo Granit alikua ni mpiga pasi nyingi kuliko mchezaji yeyote premier league.

Arsenal iliyokua inamiliki mpira na kufunguka.

Game ya Liva tulishinda ila Liva alimiliki mpira kwa 80% leo tumeshinda ila tumechezeshwa mno nusu uwanja.

Kwahiyo nikisema ushindi wetu ni wa bahati ni kwa mazingira hayo
Mpira ni tactics mkuu, hatuwezi kucheza kwa namna moja kila mechi tukategemea ushindi. Game plan inategemea na timu pinzani ilivyo, hivyo hubadilika.

Kipindi cha mzee Wenger tulikua tunafungika kirahisi sababu tulikua tunatabirika sana na mbinu zilikua ni zile zile hata Unai Emery nae alifeli kwenye hilo.

Kwenye swala la kubadilika kimbinu (game plan) Arteta anajitahidi so far, anawasoma timu pinzani na kuja na mbinu nzuri. Pia amekiri mara kadhaa kwa timu ambazo zinatuzidi quality hawezi kushindana nao ku-possess hadi pale atakapopata wachezaji wenye quality.
 
Tumebebwa na bahati.

Kama unataka kujua kuhusu bahati basi ni leo. Mustafi alitoa boko la wazi.

Angalia hii Man City kapiga shots 16 na ni 1 tu on target. Arsenal kapiga 4 yote on target na magoli 2. Kama siyo bahati ni nini?

Pepe alikua shit, angeweza kuscore ila mvivu.

We are doing fine.
Mkuu kwenye mpira hakunaga bahati kabisa. Ukishinda ni umeshinda na ukifungwa umefungwa hizo mistakes unazosema ni sehemu ya mchezo. Ndio maana kuna msemo wa mpira ni mchezo wa makosa. Mistakes mlizofanya wao wameshindwa kuzitumia na pia kile mlichokipata leo mmekihangaikia hamjabahatisha.
 
Jamaa nimeshangaa sana

Arteta anakwambia hatuna Quality ,sasa unafungukaje kwa city na Liverpool?

Awe honest ,Arteta anacheza mipira yote , Spurz ,huyu tumpempeleka possession 70+

Chelsea ,emirates tulimpeleka sana tu, game ya pili tukawa pungufu na hakushinda

Leo city tumpepigia pass 19 had goli ,anasema tumeotea View attachment 1510621
Ila we jamaa bwana.

City katushambulia.

Kapiga shots.

Mustafi katoa boko.

Bellerini katoa boko.

VAR imetuachia (nimeshangaa)

Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.

Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.

Unataka bahati gani zaidi ya hii?

Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?
 
Tulimis haya mambo mzee, mapicbapicha na vile vicheko, watu walikuwa wanaliona chungu hili jukwaa kheeeeeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
There have been so many impressive perfromances from the Arsenal players.

Yes, Aubameyang got the goals but they have defended brilliantly.

I've never seen Granit Xhaka play like this for Arsenal. Tierney, what a signing he has been
A lot of credit for the win today should go to AMN. It was a very technical call by Arteta and it paid off
 
Unajkbinya mwenyew mkuu, Haku a anayeendekeza utimu, tungeendekeza utimu tungesema Arsenal ni bora kulikk Liver na City ila kwa sasa hivi ukweli ulivyo ubora wa wachezaji wetu huezi fans Isha na Hao wenzetu wametuzidi pakubwa.
Hivi hawa viungo wetu yupi anawez a kuanzia pale City? Kwa kulitambua Hilo lazim a uwe na plan ya ushindi, ondoa suala LA bahati hapo Ile ni vita.
Mdau anataka ule mpira wa kufunguka mposses sana yaani.
Sasa umchezee liva au city hivyo na wachezaji wetu hawa si unatafuta kifo tu.
Aelewe kuna plan A,plan B,plan C n.k unaweza tumia yoyote kutegemeana na timu utakayokutana nayo.
 
Tumebebwa na bahati.

Kama unataka kujua kuhusu bahati basi ni leo. Mustafi alitoa boko la wazi.

Angalia hii Man City kapiga shots 16 na ni 1 tu on target. Arsenal kapiga 4 yote on target na magoli 2. Kama siyo bahati ni nini?

Pepe alikua shit, angeweza kuscore ila mvivu.

We are doing fine.
I don't agree with you bro.

I think techniques za Arteta na bench lake la ufundi ndio vimefanya kazi .

Comment yako kuhusu Guendouzi ntaijibu
 
Ila we jamaa bwana.

City katushambulia.

Kapiga shots.

Mustafi katoa boko.

Bellerini katoa boko.

VAR imetuachia (nimeshangaa)

Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.

Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.

Unataka bahati gani zaidi ya hii?

Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?
Wewe una shida si Bure,
Unaongea as if wewe pekee ndio unamiliki TV😂😂😂😂😂Kwahiyo hujaona Mustafi kama alicheza Moira? Au unafikiri kila linaloangaliwa na VAR basi ni kosa? Kama ni kutoa maboko kwani City wao hawajatoa maboko?
Mukilewa musiwe mnaingia JF
 
Narudia tena Nadhan mmeelewa why Niles alianza

Arteta mech na Wolves ,baada ya Adama kusumbua sana aligundua anahitajika mtu mwenye mguu wa kulia ,na alipoingia Niles ukawa mwisho wa Adama kutusumbua

Leo Mahrez vile vile kapoteana

Foden akahama upande

Wengi walishangaa why anamuacha nje kola na Saka ambao hizo ndio nafas zao
Hakika.

Na kama nlivyosema ushindi wa Leo AMN anastahili pongezi sana.

Game ilipoisha alipokuwa na David Luiz haieleweki alikuwa analia au kulitokea nini lakini yapo ambayo David Luiz ameongea nae
 
Ila we jamaa bwana.

City katushambulia.

Kapiga shots.

Mustafi katoa boko.

Bellerini katoa boko.

VAR imetuachia (nimeshangaa)

Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.

Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.

Unataka bahati gani zaidi ya hii?

Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?
Wewe una shida si Bure,
Unaongea as if wewe pekee ndio unamiliki TV😂😂😂😂😂Kwahiyo hujaona Mustafi kama alicheza Mpira? Au unafikiri kila linaloangaliwa na VAR basi ni kosa? Kama ni kutoa maboko kwani City wao hawajatoa maboko?
Mukilewa musiwe mnaingia JF
 
Anazingua huyo
Amsikilize Carrager hapa labda atamuelewa ,maana kina sisi hatuelewi

Jimmy Carragher .. "When Arteta joined Arsenal, everyone expected to offer Pep Guardiola every week. But Arsenal don't have the players for that yet ... so he changed the look and modified his idea to beat the best two teams in the country in 4 days. This is the wonderful management."
 
Back
Top Bottom