Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Marefarii wa PL hawaeleweki, sisi Fabregas alinyoosha mkono na kuunawa mpira tuliambiwa ni penalti leo sisi tumenyimwa na Dean ameona kabisa alikuwa na clear view:redfaces:

Tusimuige AW kwa kuelekeza lawama kwa marefa....Tatizo sio marefa,tatizo ni AW...............why 8 changes???????????.....ana lake jambo
 
upumbavu mtupu ,huyu wenger hana maana kabisa.tumeshindwa kuchukua advantage kutokana na draw ya united jana kisa anapumzisha.sasa hizo mechi ngumu zinazo kuja tukishindwa kushinda si ndio tumeharibu zaidi? ujinga mtupu anatufanya tuwe wasindikizaji bila sababu.

Apo ndo napo wapendea'GA' ndugu zangu wa Ze Gonaz, AW akimchapa Ancellotti, mtampa kila aina ya sifa, leo mnamtoa kafara, lol!, asa timu yenu kama haina deep squad ikifika Feb/march mna, Carling, FA, EPL, CL sijui na nn na nn, mbn mtatafutana Emirata?
 
Hapa ni kwenda kulala......

Hahahahahahaha mida ya kulala bado sana LOL! Anaudhi huyu AW, juzi tumecheza na Chelsea kapanga kikosi safi cha mashambulizi na hatimaye kujinyakulia points zote tatu, leo tuna nafasi ya kuchukua usukani anaenda kufanya madudu na matokeo yake ndiyo hayo. Timu lazima iwe na 1st eleven kama kuna majeruhi upangaji tofauti utaeleweka, vinginevyo wachezaji wako mashuhuri wanatakiwa waanze hasa ukitilia maanani bado tumo kwenye kinyang'anyiro hiki cha EPL.

Am so furious at AW...he is very unrealistic and unpractical sometimes and logically Wigan deserve this draw. You can't make 8 changes this isn't an FA cup....can't understand AW sometimes this is frustrating.
 
nilisema kile kikosi hakina creativity ,changes zile noma na baada kuleta subs mapema anakaa anasikilizia mwisho wake mda unakua hamna kabisa.
 
Hongereni sana kwa pointi 1, si haba.

Ahsante Mkuu lakini tulizitaka zote tatu na tulishaziweka kibindoni lakini madudu ya AW yametuharibia siku. Wengi tungeyakubali matokeo haya kama upangaji usingekuwa mbaya. Hakukuwa na sababu yoyote ya kutowaanzisha Persi, Fabregas na Walcott. Persi na Fabregas hata kwenye substitutes hawakuwemo.

Hongera Mkuu naona leo mmeweza kuzoa points zote tatu.
 
Ng'wanangwa hongereni kuifunga Chelsea veteran!

Nkwingwa..........hongera kwa ushindi wa leo,ile game ya siku ile tuliwakamia na tukawafunga....lakini cha ajabu AW kwa madharau yake leo kafanya 8 changes ugenini akitegemea mtremko,mara nyingi huwa tunafungwa kutokana na upuuzi wa huyu mzee(SIMPENDI kwa kweli na mara nyingi nimelisema hili)....Hayupo kiushindani kama wenzie akina Fergie,Carlo,Jose Mourinho n.k.............
 
Jirani.....Nawe hongera kwa pointi 3.....Safi sana

Ahsante sana. Tumecheza hovyo sana kipindi cha kwanza, lakini cha pili tukabadilika sana inatia matumaini. I hope lile jinamizi sasa limefika mwisho.
 
Wenger wa ajabu sana kwanini hakumchezesha Fabregas hata kama anaumwa? hahahahaahah cooment zenu bwana zinaniacha hoi. Kocha ndiye anayeijua timu kuliko nyie wazee wa vuvuzelas
 
Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:
 
Ng'wanangwa hongereni kuifunga Chelsea veteran!

Ulikuwa umejichimbia wapi saa zote hizi? Au ulikuwa chemba na mwanakondoo wako? hahahahahahah hongera zako naona leo umepata nguvu ya kupita mitaa hii.

Nkwingwa..........hongera kwa ushindi wa leo,ile game ya siku ile tuliwakamia na tukawafunga....lakini cha ajabu AW kwa madharau yake leo kafanya 8 changes ugenini akitegemea mtremko,mara nyingi huwa tunafungwa kutokana na upuuzi wa huyu mzee(SIMPENDI kwa kweli na mara nyingi nimelisema hili)....Hayupo kiushindani kama wenzie akina Fergie,Carlo,Jose Mourinho n.k.............

Kipindi cha kwanza Chelsea leo wangekuwa tunacheza na Barca tungefungwa 8! Kipindi cha pili walau. Arsenal haiwezekani kuwa mabingwa
 
Wenger wa ajabu sana kwanini hakumchezesha Fabregas hata kama anaumwa? hahahahaahah cooment zenu bwana zinaniacha hoi. Kocha ndiye anayeijua timu kuliko nyie wazee wa vuvuzelas

Hakuna popote iliposemwa kama Fabregas anaumwa labda kama kuumwa huko kunafanywa siri.

Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:

Mbona nyie hamfanyi hiyo ROTATION ya watu 8 kwa mpigo????....lol
 
Wenger wa ajabu sana kwanini hakumchezesha Fabregas hata kama anaumwa? hahahahaahah cooment zenu bwana zinaniacha hoi. Kocha ndiye anayeijua timu kuliko nyie wazee wa vuvuzelas

Alikuwa na fifth yellow kadi, alipewa mechi na nyie.
 
Back
Top Bottom