Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:
Arsenal wanataka superman! Fabregas ni majeruhi leo wanataka acheze tu........! Pengo la Alex, Ballack na Carvallo yanatukomesha