Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Asante mkuu nipo nasherehekea ushindi,na imani ligi ndo imefikia patamu. Huyu mskotishi (Coach wa Birmingham fc) si wakumuamini sana kama Bruce wa sunderland,hupenda sana kuuza mechi kwa baba yao Sir Alex wakidhani atawachia u coach Man u, lakini nina imani Birmingham wakikaza kesho msimamo wa ligi utakuwa mtamu sana.Mkuu upo? karibu sana kwenye sikukuu yetu hapa jukwaani leo.
Hongera zenu Arsenil, you were the better team tonight and deserve the win.Tumejaa tele mkuu. Hongera zenu kwanza kwa ushindi, we played like shit....but don't count us out of it, though it gonna be tough.
Karibu sana mkuu,ushindi huu mkubwa bila wewe kutoa mchango wako usingekamilika vizuri.Mie mpaka nimeenda kuzivamia bia zilizobaki za xmass lol.
Shukran mkuu, hiyo ilikuwa ni zawadi ya Xmas toka kwa Arsene Wenger kwenda kwa Acheni Lote na Emenalo!
Karibu sana mkuu,ushindi huu mkubwa bila wewe kutoa mchango wako usingekamilika vizuri.Mie mpaka nimeenda kuzivamia bia zilizobaki za xmass lol.
Hehhe ushindi wa leo umewatoa watu kama kweli na mtazamaji pangoni... Kwema lakini kwel? Fidel dawa ya Nasir ni Rafael/Fletcher... tarehe 5 mtoe draw na Citeh ili mpunguzane speed sasa.
Why BBC huwa wanachelewa sana Ku update TABLE on Arsenal wins??? Haters?? Ila chunguza Man u au Chlsea wanaposhinda huwa ni Live Updates.......
Hii mechi itachezwa February, ni mapema mno kujua nini kitatokea, kuna mambo mengi between sasa na February, e.g kuna winter signings mwezi ujao n.k.Hata katika mechi ya leo we were the underdogs but we prevailed...kwa hiyo usishange kama tukiwasambaratisha wale BARCA. Kinachohitajika ni upangaji mzuri wa team, to play as a team and determination to win.
...ha ha haaa!,...endelea na sikukuu kaka. Bundi bado analia kambini kwao hawa!
Bundi kalia .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeee
Mimi nipo mkuu usiwe na wasiwasi huu ni mpira na mimi ni mpenzi wa mpira na mpenzi wa Arsenal.
wacha1 hongereni sasa naona mnaelekea kukua, nailaani sana barafu :hungry:
Hehehe hamna noma mtani si unajua tunachangamsha baraza, ila Kweli na Radical walikuwa wamepotea.Mmeona Man City wanaongoza ligi? yani ni kelele hapa mjini sasa.sio pangoni kamanda mimi mbona nakuwepo fuatilia comment uone mechi ya man u.
ila sometime unajua tunakwenda "uwanjani" (bar /pub)ndo maana hatuonekani .si unajua raha ya mechi kuangaliawengi
Hata hii ya chelsea kipindi cha kwaza nilikuwa "uwanjani" sema kuogopa roba za mbao ndo nikarudi gheto mapema teh teh
Nahisi kama hawajamaa watafanya vizuri msimu huu ingawa sioni watu wengi kuwapa nafasi, kuna kila muelekeo wa 4 bora kwa M City.Hehehe hamna noma mtani si unajua tunachangamsha baraza, ila Kweli na Radical walikuwa wamepotea.Mmeona Man City wanaongoza ligi? yani ni kelele hapa mjini sasa.