Hata mimi najua Ceballos anauwezo kuliko Willock, wala sijapinga!.. Ila hija yangu ni kwamba kwa sasa mimi na wewe hakyna anaejua kiwango cha Ceballos kama ni kile tunachokihua au kashuka! Anaejua ni kocha na benchi lake la ufundi!.. Kwa kuwa sijui kinachosababisha anamuweka Ceballos benchi, itoshe kusema tu kocha kaona bado aendelee kukalia hilo benchi!.. Vipi kocha akimuanzisha halafu akaboronga kuliko hata Ozil, si tutaanza kulalamika hapa kuwa bora Ozil! Ninachoshauri ni kuwa tumuache kocha afanye kazi yake akiboronga atatimuliwa.. Kwa upande wa pepe bado ni kweli pepe ana kiwango hasa akiwa kwenye kiwango chake!.. Lakini kweli wewe hujui kuwa hao wanacheza position tofauti? Pepe ni winger na dogo ni Center forward, sasa sijui ulitaka pepe aingizwe aende akipige pale mbele, hapo mimi sijakuelewa!.. Bora ungelalamikia kitendo cha Martinell kucheza wing ya kulia, au ungesema pepe angeanza kulia, Auba kati na dogo akae pale kushoto!.. Lakini kwa kesi ya Nketia ni tofauti kidogo!.. Kocha alimwingiza Nketia ili kuforce goal maana kiuhalisia pale mbele kulikuwa na Auba, Laca, Martinell ambao wote ni washambuliaji nguli, sasa Lacazete kaflop na zimebaki dakika tano, sasa kama kocha unafanyaje? Unamtoa forward unaingiza forward! Huwezi kutoa forward halafu unaingiza Winger na unahitaji kushinda mechi!.. Kwa hiyo nia ya kocha ilikuwa njema!. Kwa kweli inakatisha tamaa, lakini titafanyaje na hao ndio wachezaji tulionao!.. Poleni wana Gunners lakini tusikate tamaa maana tuko kwenye transition, naamini timu itakaa vizuri soon!...
Sent using
Jamii Forums mobile app