Muwe munamuamini kocha!. Wakati Ozil anawekwa benchi watu walimtukana sana kocha kuwa hajui, sasa OIl anapangwa watu wale wale wameanza kuponda!.. Sasa naona watu wanalazimisha Ceballos apangwe!.. Kocha ameshamwambia kabisa kuwa apiganie namba!.. Hivi unajua Ceballos toka aje Arsenal kafunga goal ngapi na ana assist ngapi?.. Kusema kweli Ceballos alipokuja alikipiga ile mbaya hasa mechi yake ya kwanza na ya pili, baada ya hapo akaflop sana!.. Pepe nae anacheza mpira wa kiafrica wa chenga nyingi na kufinya kwingi bila sababu!.. Kocha anamuelekeza lakini habadiliki, siku akianza kupigwa benchi watu mtaona kaonewa!.. Mwacheni kocha wetu apange timu, yeye ndio anaijua timu huko kwenye mazoezi!.. Timu ipo kwenye transition na tunapitia mengi kwa sasa kama Man u, chelsea, man u, Spurs.. Tumuache kocha asuke kikosi chake! Sasa kama akina Lacazette, na Ozil wanaunderperform kocha afanyeje sasa na hakuna mbadala wa kueleweka!
Sent using
Jamii Forums mobile app