computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Dah kipindi cha kwanza tumecheza vibaya sana sana hapa anahitajika torreira kati sababu tunawaachia jamaa wanakuja tu kizembezembe na kupiga mipira mirefu bila sababu na pepe anahitajika kwa haraka sababu mbele hatuwasumbui kabisa jamaa beki zao za kati kila saa zimekuwa washambuliaji kwetu ila pia tukubali tukatae OZIL anatusindikiza hana jipya wala maajabu labda labda second half abadilike ila arteta asipofanya mabadiliko weekend mapema itaishia kuwa chungu na ndefu kwetu na Lacazette dah huyu hata sijui nimuongelee vipi yaani kila mechi yupo poor poor
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app