Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,923
- 27,157
Narudia tena Pambaaav!!Tusi liko wapi hapo ndugu yangu?
Vile unavyokuja ndivyo utakavyopokelewa....umekuja na neno 'pumbavu' nami nikakupa unalostahili....
Nioneshe wapi nilipotumia neno kama hilo kwa mtu kama cash money Wings au beira 1.......
Uwe na adabu unapokuwa katika ukanda huu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikujua kama hilo neno ndio limekutoa kwenye reli.



Tafuta jipya PAMBAAV!!!
Sent using Jamii Forums mobile app