Watu walikuwa wakiongea hapa kundi zima kumhusu Unai kutomchezesha Ozil. Haya sasa huyo hapo, ana maajabu gani? Unai alikuwa sahihi kutompanga, ni mzigo kwa timu.
Lacazette sasa. [emoji23][emoji23] yani ndo uuuuuuuuwwiii!! Anakimbiakimbia tu kama masai mbugani. Haeleweki anacheza kitu gani. Ukijumlisha na Flop wa match ya leo - bwana Auba - basi nadhani unajua unapata kitu gani. Yani ndugu zangu nyie mkiingia Top 4, ni kombe kabisa. Itabidi Malkia Elizabeth ampe u- sir bwana Arteta.
Kwa hizi sub za Willock ... kazi ipo kwelikweli
Sent using
Jamii Forums mobile app