Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Umeahamia kupiga ramli sasaWazee wa mikeka leo.
Burnley Vs Arsenal
1DC=1.75
95% INATOA. Msiache hela ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeahamia kupiga ramli sasaWazee wa mikeka leo.
Burnley Vs Arsenal
1DC=1.75
95% INATOA. Msiache hela ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ramli zitawambua
Sasa mchezaji gani wa maana mtampata nyinyi?????Wachezaii gani wenye dira mlowasajili? Timu haina dira na wachezaji hawana dira imepelekea mpaka kwa fans
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna hoja ......pungu1 weweMagoli yasiyo na mipango yamechukua point 4 kwako. Ynye mipango yamekufikisha nafasi ya 12. Na leo Burnley anakubanua tena.
Pambaavu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
, Özil, Martinelli;Naona hiki kikosi hakijabalance hapo katikati sijui ngoja tuone itakuwaje ila kwa hawa jamaa wa mabavu palihitajika mtu wa shoka kama TORREIRA ila ngoja tuone mpaka dk 45 itakuwa imeshafahamika na pia ARTETA hatakiwi kumuacha TORREIRA sababu hatuna game next week na tunaenda dubai sasa sijui kwa nini hajampanga#AFC starting XI to face Burnley:
-
Leno;
Bellerín, Mustafi, David Luiz, Saka;
Guendouzi, Xhaka;
Aubameyang, Özil, Martinelli;
Lacazette.
-
#BURARS #PLView attachment 1344362
Why mkuu???Kikosi dhaifu hiki, nakuona dhaifu sijui kwa nini
Katikati kutapwaya tu mkuu, ngoja tuone.Why mkuu???
OkKatikati kutapwaya tu mkuu, ngoja tuone.