computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hahaha mkuu unanichekesha hahahaha halafu kwa sasa tukubali Lacazette na Aubameyang hawawezi kucheza pamoja hili inabidi tukubaliane kama tunataka ushindi lazima Aubameyang awe centre hapo bila hvyo tutaishia kila weekend kuzivua jezi kwa kuona aibuacha wakale maisha tu hakuna namna
Nafuraha Leo bado tupo top 10 hii ndo furaha sababu ilikuwa tufungwe Leo ila tumejaliwa kupata sare ila najiuliza bado tuna mechi 13 kuna wolves man city liverpool Leicester spurs bado hatujacheza nao na matokeo na poor poor performance ndo hii kweli tutanusurika?hali ni mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
kubalini kashfa zake anasema ukweli kutoka moyoni. Anatamani timu asajili WANAUME wa kazi.