Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,163
Commentator "Jorgihno was a lucky man today" hadi kuishia kuwafunga..jorginho huyu anayeshika jezi dk90 zote, si huruma ya refa ndio imembakiza kwenye mechi,Kovacic unamsifia afu kocha wako naye anakuumbua anampiga sub.
Sent using Jamii Forums mobile app







Kwa uyu Aaron Arsenal ndo yule AARON???Ngoja nimtag Aaron Arsenal


Ndiyo mwenyw
Ana stress ajawahi kuvaa jez ya timu ya taifa. Wakati Gerioud bench warmer ana uhakika.


Tupeni Ozil tuwape Batshuayi na Pedero, wanaeza leta akili za ushindi apo kwenu ...maan naona ameshindwa.Ozil ni kama mgonjwa wa homa ya vipindi naye hatakiwi kuwepo Arsenal kama tunahitaji timu Kali Ozil ni mmoja wa wachezaji wa kuchapa lapa
Sent using Jamii Forums mobile app


Aise nitamshanga Ndidi ..apo nitaamini blacks tuna tatizo kubwa kwenye upande wa kufikiri...Yaani ndidi aachane na Leicester ambao wako moto wanasubiri walau liver ajikwae matches kadhaa. aje arsenal ambayo inataka kushuka daraja? Hayo yatakuwa ni matope aisee
Sent using Jamii Forums mobile app


Game yenu na Man u tuko pamoja lazima mushinde mkuu..Mkuu next game unaionaje dhidi ya Manchester United?Mimi nasema tukipona tutafungwa 2 au 3 sababu Manchester United watakaa nyuma na kufanya counter attack Mwaka huu mpaka bodi akili zitarudi na kukaa sawa Manina kabisa kama Arteta hii mechi kaishindwa ya Man u asijisumbie tutakula kipigo takatifu hvyo tujiandae kwa kipigo na kuwa nafasi ya 15
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu uliofata tukabeba ubingwa. Nyie mutaweza?Mkuu kitu Cha Kwanza Cha muhimu ni uhai tu
Kingine tubaki ligi kuu msimu huu ili msimu ujao tupambane vizuri mbona hao Chelsea walimaziga nafasi ya 10 na kina Hazard?


we ni tatizo...jukwaa lenu ulipotea wiki nzima baada ya kubuluzwa mfululizo. mechi ya jana tu baada ya kupewa msaada na referee unaleta utumbo wako kwenye jukwaa hili...na kuongea pumba na mashuduAise nitamshanga Ndidi ..apo nitaamini blacks tuna tatizo kubwa kwenye upande wa kufikiri...
Unajua bado wachezaji na sisi mashabiki tuna mentality kwamba timu Flani ni kubwa na ingine ni ndogo..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ozil anaeza kipiga hata mwaka mmoja tukauza jezi na kuleta faida kidgo mkuu..Mzee ollais tumchukue Ozil tena? Au unataka akafanye kazi barber shop ya Chelsea.
Sent using Jamii Forums mobile app


we ni tatizo...jukwaa lenu ulipotea wiki nzima baada ya kubuluzwa mfululizo. mechi ya jana tu baada ya kupewa msaada na referee unaleta utumbo wako kwenye jukwaa hili...na kuongea pumba na mashudu
Sent using Jamii Forums mobile app



kuwa mpoleee 

Luiz alicheza mpira,kama ile ya Tammy ulitaka iwe tuta basi na ile ya Lacca nayo ingekuwa tuta...Naona kila mtu anavutia kwake vip kuhusu lile teke alilorusha Gunduz kwa kante na Abraham alivyoshikwa ndani ya box?
Nini msimu ujao,yaweza kuchukua hata zaidi ya miaka 5 ......Huyu City wa sasa alipitia pagumu kuliko sisi,Chelsea hivyohivyo walikaa 50 years mpaka mafanikio haya unayoyaona sasa mkuu bila uvumilivu utapata tabu sana....Una uhakika gani na Msimu ujao wakati tunaweza kuwa championships ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ni shabiki wa timu au shabiki wa nini mkuu????Mimi naongea ukweli wewe unaweka ushabiki hapo ndo tatizo ila Mimi nachosema kama upo tayari kushabikia Arsenal vs Blackpool next season sawa ila kwa shabiki kama Mimi sitaweza lazima viongozi waje na wazo mbadala ambalo hata sisi tunaweza tusiwe tunalifikiria sababu 6 matches (3 matches home 3 loss)na (3 matches away 3 draws)ni dalili ya kushuka daraja ndo maana tunaongea live bila chenga na hata kama hawatuskii tutaenda kwenye pages zao kuwaambia ukweli nani aanze kuangalia game za championship humu mara Arsenal vs QPR mara Arsenal vs Charlton halafu unajua Mashabiki wanaamini eti Arsenal haiwez shuka Daraja ni kujipa moyo wa kijinga Mpira sio siasa ni akili na technique basi
Sent using Jamii Forums mobile app