milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Kuhusu Arteta kupewa muda haina tatizo hakuna anayepinga ila nikikuuliza una uhakika na ARTETA ANAWEZA KUJA KUWA KOCHA BORA ??maana hatuna uhakika naye hapa wote tunahisi tu sababu ya ushabiki ila kireality wote hatuna uhakika ni kama tunabahatisha au tunabeti sababu kama angekuwa ni kocha mwenye uzoefu mkubwa tungesema may be huyu hawezi kushuka Daraja atatuinua mfano Pelegrini si umeona kataka kushuka na west ham licha ni kocha mzuri na ameshabeba hadi EPL?
Hvyo Arteta kuna mawili anaweza kutuvusha na pia anaweza kutushusha Daraja sababu hatujui ni kocha wa aina gani NGOJA TUSUBIRI MARCH NA SIO MAY PICHA ITAKUWA IMEONEKANA RASMI
Sent using Jamii Forums mobile app

