milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Kuambiana ukweli inasaidia sana kuliko kuambiana ujinga ambao hautupi Msaada wowote wakati tunafanana na NORWICH na ASTON VILLAUmesema kweli inayokuweka huru. Kazi walikuwa wanamlaumu kocha, eti tuna wachezaji wazuri. Hao wachezaji ni Kina nani? Beki nzima hamna kitu. Hapo kati pia tia maji tia maji mbali na Torreira. Yani wachezaji kina Maitiland, Willock, Bukayo, Pepe (apandaye na kushuka), Gunduzi ndo wakupambanie uwe top four? Laca naye ndo yuleeeee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

