Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee kilichoniuma leo,hawa leo walikuwa washakubali, tulikuwa tunawala hata 3 mapema sana ila ndio hivyo ukiwa mzembe lazima uazibiwe,Hakuna haja ya kumlaumu kocha

Wakulaumiwa ni Willock tu,sijui lini atakuwa na hadhi ya kuvaa ile jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atalaumiwa tu. Kuna makosa mengine ya kijinga.

Dakika ya 70, why dont you bring in fresh legs?? Umeng'ang'ania Nelson. Pepe yupo nje
Lakin mkuu umeona bao la pili lilipotokea? Pepe alipewa mpira ndani ya 18 akaanza kuupaka rangi badala ya kunyoosha alikua na nafasi kabisa ya kufunga ila ngoma ikageuzwa na goli likapatikana
 
Hapa umeweka ushabiki pembeni na kusema ukweli
Leo tunahitaji point 3 kamili matokeo tofauti na point 3 leo na tarehe 1 tutakuwa katika relegation place Arsenal huwa tuna maneno mengi sana mara Arteta kocha mzuri ooh mara kiungo watabadilika hiyo yote ni kupoteza muda tu
Tunahitaji point 6 Leo na tarehe 1 kama hatutapata hizi point timu yetu na Watford au Norwich zitakuwa level 1 ila majina tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee hali yetu sio nzuri kimahesabu tunaweza maliza position mbaya kuliko misimu yote ya nyuma bila usajili wa kueleweka january,

Tumepata kocha mzuri naweza kusema hivo kwa game hizi mbili nilizoziona, ila tatizo hata wachezaji kujiamini kumepotea (***** Emery popote ulipo). Nadhani Ndidi na Upamecano ni lazima watue Emirates january hii tuokeke kwenye aibu hii ya huu msimu.

First half wachezaji walkua wanacheza kwa kujiamini mno timu ilitulia hadi raha ila kipindi Cha pili sijui nin kilitokea ila uelekeo walau unaonekana
 
Back
Top Bottom