OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Walikuwa mizigo pia second halfLacazette, Nelson walikuwa mizigo first half



Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa mizigo pia second halfLacazette, Nelson walikuwa mizigo first half



Natumain mulishafanya maandaliziTusiposhinda leo tuna 2 matches home Chelsea and Manchester United
TUJIANDAE KUSHUKA DARAJA
Sent using Jamii Forums mobile app






Mbona kaingia sasa?? Ni ujinga tu wa kochapepe hayuko fit wazee aliumia game na westham
so kumchezesha ni bonge la risk
mm nimemuelewa kocha kuanzia benchi
Sent using Jamii Forums mobile app





Tumrudishe Arteta kwa Pep akaendelee kujifunzaApewe muda.
Kumbuka bado Arsenal haijachezesha kikosi chake cha kwanza.







Alafu nilikuwa sijajua wewe ni timu gani kumbe Man U.Hahahahahahahahah Endeleeni kusubiri mavuno Kila kheri.
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah nimeichukua hii.Arteta amekaa na Pep bado yupo ivi??? Kweli kukaa karibu na kanisa siyo kuokoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wale wanaaga kwao "mama naenda kucheza" wakati watu wa kazi wakiaga wanasema "naenda kazini" lazima pawe na utofauti wakiingia uwanjani











Ungeacha kabisa na kukomenti..KUANZIA LEO SITAANGALIA TENA MECHI ZA ARSENAL NINA MIAKA 20 NAIPENDA ILA KWA SASA TUNAELEKEA KUSHUKA DARAJA MECHI YA 3 MFULULIZO TUNAFUNGWA EMIRATES NA UGENINI HATUSHINDI NTAKUWA NAPATA MATOKEO HUMU KUNDINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mustafi ni mjinga sana, nadhani Edu na Raul wameona ungese wa yule jamaa auzwe kwa lazima January.Hivi mustafi ni mchezaji
Hao ndo huwa wana Makelele wakati timu hatunaKuna mashabiki wanajifanya wanaiongelea mafanikio ya arsenal tangu arteta amepewa kibarua. Utasikia, mazoezi yake siyo mchezo, lacazette anafundishwa sanaa ya arsenal and blah blah blah...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata FA hafai kucheza... Sijui dirisha lenyewe bado siku ngapiMustafi ni mjinga sana, nadhani Edu na Raul wameona ungese wa yule jamaa auzwe kwa lazima January.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye arteta kusema sio kocha nakupinga mkuu arteta ni mtu leo timu imecheza unaona kabisa matumini yapo tukitaka kumfaidi uyu jamaa tumuache msimu huu tusimpe presha na msimu ujao atengeneze timu yake halaf baada ya hapo sasa tuanze kumsema vizur ila kwa sasa arteta sio wa kulaumiwaNliongea hii kauli nkaambiwa sijui kuandika sio shabiki wa damu wa Arsenal ila narudia kusema SISI MASHABIKI WA ARSENAL TUNA MDOMO SANA SANA KUPAMBA PAMBA TU MARA ARTETA KOCHA BORA MARA SIJUI NINI ILA HATUNA TIMU KABISA NA HATA ARTETA MWENYEWE SI WA KUMUAMINI NA NINAOTA NDOTO ARSENAL ANAWEZA AKASHUKA DARAJA SABABU HATUNA TOFAUTI NA ASTON VILLA NORWICH WALA WATFORD TUKISEMA TUNAONEKANA SIO WAJUAJI HAYA ACHA TUENDELEE KUPATA HAYA MATOKEO TUSHUKE DARAJA TUJIANZE KUJIANDAA NA LOLOTE LILE
Sent using Jamii Forums mobile app