Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poor ase88
FB_IMG_1576484111249.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ozil ni kama mgonjwa wa homa ya vipindi naye hatakiwi kuwepo Arsenal kama tunahitaji timu Kali Ozil ni mmoja wa wachezaji wa kuchapa lapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi naona Ozil ameshakuwa mzigo,ila kuna wachezaji kama David Luiz anafanya kazi nzuri sana nyuma,pia kunahitajika marekebisho makubwa kwenye beki na midfielder wakifanikiwa hilo Arsenal iko vizuri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ww ni takataka..... Hamna mchezaji mwenye focus ya msimu mmoja..
Mkuu next game unaionaje dhidi ya Manchester United?Mimi nasema tukipona tutafungwa 2 au 3 sababu Manchester United watakaa nyuma na kufanya counter attack Mwaka huu mpaka bodi akili zitarudi na kukaa sawa Manina kabisa kama Arteta hii mechi kaishindwa ya Man u asijisumbie tutakula kipigo takatifu hvyo tujiandae kwa kipigo na kuwa nafasi ya 15

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUANZIA LEO HUMU KWENYE GROUP MAMBO YA OHH ARTETA KOCHA MZURI MARA OOH WACHEZAJI WAMEIMPROVE KWENYE MAZOEZI MARA OHH WACHEZAJI WANA ENERGY BAADA YA ARTETA MARA TUMEFUNGWA ILA TUMECHEZA VIZURI TUTAAMKA HAYO YOTE NI PUMBA PUMBA TUAMBIANE UKWELI AMBAO KAMA HAMTATAKA KUYASKIA ILA BORA TUAMBIANE KAMA J5 TUTAKULA KIPIGO NEXT CRYSTAL PALACE NA MNAPAJUA PALE PALIVYO PAGUMU KWA KIKOSI CHA NELSON (MTOTO WA KOCHA)NA WILLOCK HUYU TUTAKULA TENA KIPIGO KWA SASA TUJAIDILI TIMU JE TUTAFANIKIWA KUBAKI LIGI KUU MSIMU WA 2020?HILI NDIO LINA UMUHIMU KULIKO MENGINE YOTE YA KUPEANA MOYO TU HUMU

Mkuu kitu Cha Kwanza Cha muhimu ni uhai tu
Kingine tubaki ligi kuu msimu huu ili msimu ujao tupambane vizuri mbona hao Chelsea walimaziga nafasi ya 10 na kina Hazard?
 
Daraja hatuwez shuka ngoja kama iyo jumatano tutapigwa tena nadhani pesa itatoka tu ya kusajili
Bodi inachukua kina Guendouzi Willock Nelson Smith Saka hao wote eti wanaingia first eleven si kituko cha dunia halafu bado tunajipa moyo kuwa top 4 hivi sisi mashabiki wa Arsenal tuna akili timamu kweli?kweli?naona saa nyingine tunapataga ukichaa wa akili
Katika madogo wote ni Martineli peke yake ndo anaweza akapata namba hata timu kubwa kwa sasa naanza kujitoa kwenye akili ya ukichaa nakuwa timamu zaidi

Umesema kweli inayokuweka huru. Kazi walikuwa wanamlaumu kocha, eti tuna wachezaji wazuri. Hao wachezaji ni Kina nani? Beki nzima hamna kitu. Hapo kati pia tia maji tia maji mbali na Torreira. Yani wachezaji kina Maitiland, Willock, Bukayo, Pepe (apandaye na kushuka), Gunduzi ndo wakupambanie uwe top four? Laca naye ndo yuleeeee,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom