milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Naona giza kwenye hii mechi tumuombe Mungu mpaka sasa Arsenal 0 Wolves 6 attempts ngoja tusubiri 90 minutes
Ugua pole mkuu. Unai mwache leo atashinda kwa kishindoWana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Naona giza kwenye hii mechi tumuombe Mungu mpaka sasa Arsenal 0 Wolves 6 attempts ngoja tusubiri 90 minutes
Kombe la kutolea macho EPL 😂 😆 😂 😂 😂 wewe nilikwambia timu yako kushinda game 3 mfululizo huwezi (Draw,Win,Loose).Haya kipo wapi mnakuja kutupigia kelele,mnasahau timu yenu kama saa mbovu,leo imepoteza majira.Nakwambia ukweli kuna kombe la kutolea macho kama epl na fa cup kwa england umewahi kusikia unaulizwa mmebeba carabao ngapi?
Hahahahahahaha hahaha Mara unazima gafla mpka uipige pigeKombe la kutolea macho EPL![]()
![]()
![]()
![]()
wewe nilikwambia timu yako kushinda game 3 mfululizo huwezi (Draw,Win,Loose).Haya kipo wapi mnakuja kutupigia kelele,mnasahau timu yenu kama saa mbovu,leo imepoteza majira.



Wewe naona umempa point 3 bournemouth.Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3
Mkuu pumb zilipona kweli?Kama kawaida ya sub za kocha haya sasa tushikeni Map*** bado dk 15




Sasa mshinde ili iweje? Watu bhana...Ngoja tuendelee kupata haya matokeo naapa Mimi Mungu yupo game ya Leicester city hatutashinda hatutashinda kama kocha atakuwa ni Unai naapa hatutashinda


