Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeah ni muhimu timu ipate matokeo haya ili ifanye maamuzi magumu ya kuachana na Emery. Game 3 tumepata points 2.

Mkuu Castr ulielewa Lt11 alicheza nafasi gani leo? Manake nilikuwa namuona yupo mbele kuliko Auba.
 
Arsenal nilisema kwenye hizi game zenu mbili Wolves na Leicester mtaambulia point moja tu, ndiyo hii mmeipata leo, next game na Leicester mnakufa
Ukweli mchungu ndugu, tunafungwa magoli mepesi sana. Pia mbinu za kocha kwenye kujilinda ni mbovu.
Haiwezekani ukubali kushambuliwa muda wote ikiwa huna wachezaji wenye uwezo wa kukaba.

Hii Arsenal hata ikitangulia goli tano zinaweza kurudishwa zote.
 
Huyu kocha mkuda sana
Yaani huyu Saka wa kumuingiza katika muda ule then katika bench una Pepe!!!!!
Alafu timu ipo home baada ya kuingiza Pepe akaweke presha kule mbele anaingiza Kolasinac aje kuzuia

Kocha ana sub za kipumbavu ila nashukuru mkeka wangu unapumua maana niliweka both team to score game hii
Naumia kwa matokeo nafurahia mkwanja ....thanks Unai na game ijayo ya leicester iwe hivihivi....kama Muhindi yupo hapa ni sumu kumpa normal win Arsenal yaani ni mwendo wa 2+ na GG




Good weekend
 
Unaongoza moja, unatakiwa kulinda goli unatoa defensive mid torreira unaingiza winga Saka, wamesawazisha unatakiwa kupambana upate goļi Unatoa Tïrney unaingiza Kola, hapo kuna tactical change gani na hajaumia mtu?
Kocha hafai.
Leo Torreira alikuwa anacheza juu kuliko kukaba. Sijui Unai anacheza mfumo gani? Timu hata haieleweki, daah so sad.
 
Unaongoza moja, unatakiwa kulinda goli unatoa defensive mid torreira unaingiza winga Saka, wamesawazisha unatakiwa kupambana upate goļi Unatoa Tïrney unaingiza Kola, hapo kuna tactical change gani na hajaumia mtu?
Kocha hafai.
torreira hakucheza kama defensive mid...
 
Ngoja tarehe 9 saa 5 kama unai atakuwa kwenye benchi la Arsenal naapa narudia tutarudi humu kuandika kulalamika na matusi juu
 
Jamani hamjasikia tetesi tetesi za Unai kufukuzwa huko kwenye ma social media ya Ulaya?.. Yaani huyu kocha siku akifukuzwa nitaandaa sherehe ili kusherehekea mwisho wa karaha na mateso anayotupa. Yaani tuna kocha mkuda sijapata ona, yaani sijui kwa nini hapendi torreila axheze kwenye position yake ya DM!.. Always anamchezesha out of position na anamtoa dk za 70+, na kila akimtoa baada ya dk 10 tunakuwa yumeshafungwa,, sasa cjui kwa nini huyu jamaa hajifunzi. Bodi ya Arsenal inatakiwa wafanye maamuzi magumu mapema, wakiendelea kumvumilia huyu mpuuzi tutajikuta tupo nafasi ya 10+ siku chache zijazo!.
 
Kumbe Unai mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu,itapendeza asipoongezwa
Screenshot_20191102-212238.png
 
Back
Top Bottom