Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mind the gape....in mou voice
Ulikujaga kushupaza shingo kule kabla hatujacheza na liverpool watupige goli 6 nikakuuliza umefurahia arsenal kuwa wa 5 jumatatu ukapigwa ka dude ukaingia mitini saiv unauliza gape wakat mwenzio nnamabadiliko ila wewe uko palepale umestak cumputer imegoma kusoma endelea kuuliza gap unataona tu siku za baadae
 
The gape, Hahahaa

United won Premier League, 20 times

What about Arsenane?

Remember, sijataja Champions League

That's the gape, like SKY and EARTH

Weka msimamo acha story na mbwembwe nyingi
 
Ulikujaga kushupaza shingo kule kabla hatujacheza na liverpool watupige goli 6 nikakuuliza umefurahia arsenal kuwa wa 5 jumatatu ukapigwa ka dude ukaingia mitini saiv unauliza gape wakat mwenzio nnamabadiliko ila wewe uko palepale umestak cumputer imegoma kusoma endelea kuuliza gap unataona tu siku za baadae

Weka msimamo tuone hayo mabadiliko mkuu????
 
Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3
kwa hiyo ww mechi zote mbili unashinda?
Watu wa Man mshasahau matatizo yenu,kisa tu jirani yenu naye ana tatizo,endeleni kujipa moyo,lkn timu ya kushinda mechi tatu mfululizo hamna,hilo mnalijua,ila mnajipa moyo kwa matatizo ya Arsenal mnajiona hampo peke yenu.
 
Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3

Ushakuwa mpiga ramli mkuu

Sasa wewe hayo yajayo umeyajuaje??????

Vipi wewe hutopoteza mechi eti eeeehhhh....
Hili ni soka mkuu jipange kisaikolojia
 
Achana na wangese mkuu watakupotezea muda
Mkuu tutumie vizuri option ya Ignore list. Ukiona mtu hana cha maana anachochangia unamuadd tu.

Mimi humu napata comments za akina Aaron, yako na wengine wa Arsenal.

Wapiga kelele wala husumbuki nao. Sababu hata hujui kama wamepost.
 
Arsenal’s 8-man shortlist in the summer of 2018 to replace Arsène Wenger:

• Unai Emery
• Massimiliano Allegri
• Mikel Arteta
• Thierry Henry
• Julen Lopetegui
• Ralf Rangnick
• Jorge Sampaoli
• Patrick Vieira

[@David_Ornstein] #AFC
 
Ornstein's update on Emery's future is available on The Athletic. A summary of the main points in a minute.
 
Ornstein: Josh Kroenke met with Emery but it was a routine meeting. There was more anger regarding VAR than the result. Club also against Xhaka reaction.
Ornstein also reporting that if there is a coach change in the middle of the season, there is a sense Freddie Ljungberg could take over, however right now there is a lack of clarity.
 
kwa hiyo ww mechi zote mbili unashinda?
Watu wa Man mshasahau matatizo yenu,kisa tu jirani yenu naye ana tatizo,endeleni kujipa moyo,lkn timu ya kushinda mechi tatu mfululizo hamna,hilo mnalijua,ila mnajipa moyo kwa matatizo ya Arsenal mnajiona hampo peke yenu.
Nawashangaa sana , wana matatizo makubwa kuliko yetu, ila wanakuja kujipa moyo humu
 
EMERY NI TATIZO KUBWA NA SUGU

Katika post zangu huko nyuma niliainisha matatizo ya Emery yanayoicost Arsenal

1.Hana kikosi cha kwanza

2 .Hajui kupanga kikosi

3.Anawapanga wachezaji out of natural position

4.kila mechi haijulikan atakuja na mfumo UPI, Leo atakuja na 4-3-3 kesho 4-3-1-2,keshokutwa 4-2-3-1

5.Ana poor tactical

Mechi ya Leo dhidi ya C.palace Kaja na Tatizo namba 3 na 1

Katikati kaja na Gunduz ,xhaka huku namba 10 akianza ceballos

Kumbuka hawa typically, ni namba 8 au Central midfield

Kwahiyo automatically Akawa ameziua namba 6 na namba 10 maana timu itakosa nguvu kwenye eneo la Ukabaji (DM) na eneo la Namba 10 (Attacking MD)

Tulichoshuhudia Leo ni Namba 10 kukosa ubunifu, na Wale WA katikati Xhaka na Gunduz kukosa balance ,

Combination ya Xhaka & Gunduz haijawahi kuleta impact hata siku 1 ,

Yote haya yanafanyika huku nje kuna Lucas toreira ambaye ni namba 6 halis na Ozil namba 10 halisi

KWA HAPA KOCHA HATUNA ILA TUNA MBABAISHAJI

KWA MWENDO HUU HAWEZ KUFIKA X MASS
 
Ornstein also reporting that if there is a coach change in the middle of the season, there is a sense Freddie Ljungberg could take over, however right now there is a lack of clarity.
 
Arsenal’s contingency plan in the event that the club and Emery part ways is unclear. Parting ways with Emery is currently not an option that is being considered. [@David_Ornstein] #afc DailyAFC™ on Twitter
 
Ushakuwa mpiga ramli mkuu

Sasa wewe hayo yajayo umeyajuaje??????

Vipi wewe hutopoteza mechi eti eeeehhhh....
Hili ni soka mkuu jipange kisaikolojia
Kwa mwendo huu tulia uone niliyumba majeruhi lundo wewe unayumba ukiwa full
 
kwa hiyo ww mechi zote mbili unashinda?
Watu wa Man mshasahau matatizo yenu,kisa tu jirani yenu naye ana tatizo,endeleni kujipa moyo,lkn timu ya kushinda mechi tatu mfululizo hamna,hilo mnalijua,ila mnajipa moyo kwa matatizo ya Arsenal mnajiona hampo peke yenu.
Mech mbili tayar bado moja wiki ijayo 3 zako nakata sio arsenal
 
Back
Top Bottom