Kocha mwenye udhaifu ambao hata asiyejua soka anauonaLiver wana huruma mimi hii mechi sikutaka ifike penalty,wangemaliza dk 90 ,kwani mpaka sasa UNAI ana cha kujitetea.
Ozil jana kamuumbua naona akaona amtoe benchi na mwenzake Toreira.Hapo ndipo unapokuja kugundua kocha wetu anapenda kufungwa,cha msingi atuachie timu yetu akatomasane na mke wake.


.Mkuu kuwa na lugha ya staha, hakuna mjinga humu.
Ni sahihi. Mchizi kadandia treni kwa mbele..Hii show umeikuta kati haujui kwanini nilisema huko tunacheza vizuri.
Hatimaye Xhaka kesho hatakuwepo hata sub!!!

ngoja hasira zao zipoe
Get well soon bro...Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Pole mkuu. Ugua uponeWana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Ugua pole comrade mshika mtutuWana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT

Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Ugua pole mzee baba.Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT