Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenane bhana

Babies

Unaongoza mara tano halafu unakuja kutolewa kwenye mashindano, kweli pale hamna timu
 
Arsenal yangu siiamini hata tukitangulia goli 4 dhidi ya mpinzani inabidi usubiri dk 90 kuhakikisha matokeo yaani imekuwa timu dhaifu mno mno mno
Unakumbuka ile ya Newcastle mwaka 2014 mliongoza 4-0 mpaka HT, Matokeo ya mwisho ikawa 4-4.
 
Arsenal collapse once again in Unai Emery’s last game as Arsenal manager
Posted on October 30, 2019
An entertaining game, ruined by Emeryball.

Arsenal went a goal down after Mustafi’s own goal, and to be fair to him it was unfortunate. The ball was fizzed in and there’s not much he could of done with it, well if it was anyone other than Mustafi.

Then Arsenal responded, and how. We equalised through Torreira and then Martinelli scored his usual brace to put us 3-1 up.

But the problem with 3-1 is that it means we have a 2 goal lead. And Emery’s speciality is giving away 2 goal leads.

Watford, Crystal Palace… and then Liverpool.

We went 4-2 up and then predictably, the score went to 4-4. And then we managed to go ahead with a Joe Willock stunner.

So in the 94th minute
 
Hivi huyu jamaa wanamwachaje pale kwa mfano

Mechi na watford yalikuwa hayahaya
Yamejirudia tena na C palace
Na leo tena

Uvumilivu ukizidi unakula vilivyooza
 
I always say Arsenal tunacheza vizuri Europa na Carabao. Na ndiyo kimetokea leo, tumecheza poa even when waliposawazisha bado spirit ilikua juu.

Wachezaji wetu wameonyesha uwezo wao kwa kadri walivyoaminiwa isipokua bahati haikua upande wetu.

Subs za hovyo zimefanywa kweli ila mimi kama shabiki sina cha kufanya. Ozil hakutakiwa kutoka wala Torreira. Angetoka Saka na Willock as Willock alishaonyesha kuchoka.

Tierney amecheleweshwa kuingia, tho yaweza kua ni dalili nzuri kwamba sasa ataendelea kuonekana EPL akianzia first XI.

Am mad just like the rest of y'all but cheer up it's just football. Na safari inaendelea.

THIS IS ARSENAL
 
yan nyie ni makelele tu week nzima kwenye jukwaa hili kisa kumfunga chelsea utafauti wa goli 1, harafu carabao....shenzi subiria vibonde vyenzako liver na leicester.....
Tafadhali mzee. Liver kibonde kwa nani tena?
 
I always say Arsenal tunacheza vizuri Europa na Carabao. Na ndiyo kimetokea leo, tumecheza poa even when waliposawazisha bado spirit ilikua juu.

Wachezaji wetu wameonyesha uwezo wao kwa kadri walivyoaminiwa isipokua bahati haikua upande wetu.

Subs za hovyo zimefanywa kweli ila mimi kama shabiki sina cha kufanya. Ozil hakutakiwa kutoka wala Torreira. Angetoka Saka na Willock as Willock alishaonyesha kuchoka.

Tierney amecheleweshwa kuingia, tho yaweza kua ni dalili nzuri kwamba sasa ataendelea kuonekana EPL akianzia first XI.

Am mad just like the rest of y'all but cheer up it's just football. Na safari inaendelea.

THIS IS ARSENAL
Mnacheza vizuri Europa na Carabao !!!! Unachekesha... Hii Carabao huwa Van Djke, Mane, Wiljneidam, Arnold, Salah, Firminho, Robertson et al.... huwa hawachezagi, kwa hiyo usijione umecheza vizuri. UMECHEZA NA LIVERPOOL B.
 
Cha arsenal ni kikosi gani A au B?
 
I always say Arsenal tunacheza vizuri Europa na Carabao. Na ndiyo kimetokea leo, tumecheza poa even when waliposawazisha bado spirit ilikua juu.

Wachezaji wetu wameonyesha uwezo wao kwa kadri walivyoaminiwa isipokua bahati haikua upande wetu.

Subs za hovyo zimefanywa kweli ila mimi kama shabiki sina cha kufanya. Ozil hakutakiwa kutoka wala Torreira. Angetoka Saka na Willock as Willock alishaonyesha kuchoka.

Tierney amecheleweshwa kuingia, tho yaweza kua ni dalili nzuri kwamba sasa ataendelea kuonekana EPL akianzia first XI.

Am mad just like the rest of y'all but cheer up it's just football. Na safari inaendelea.

THIS IS ARSENAL

Inaonyesha Unai ana ego na hataki kuonekana kama anafanya maamuzi kwa shinikizo la nje. Ozil na Torreira inaonyesha hawataki kikosini, ila amewapanga kuturidhisha tu. All in all game ilikua nzuri

Ila serious kama tuna kocha wa mabeki nafikiri ajiuzulu tu. Pale nyuma wanakaba kwa macho. Mustafi sidhani kama anastahili second chance.
 
Hastahili hata kidogo nasema ukweli Mustafi auzwe, without ball ni ujinga tupu, Tunasindikiza tu.Nimegundua kwanini hata tukiongoza goli kumi zinaweza kurudi zote.
 
Mbinu kuu ya kuifunga Arsenal hii ya Emery ni kujiamini na kupandisha timu hata bila mipango utashinda tu.Ukiwa na players wanaojiamini tu against Emery's team tayari unaongoza 2-0 mechi ndio imeanza.

Baada ya kulijua hilo nimeelewa kwanini Barca walipindua meza kwa 6-1.

Leo Emery akipewa kazi pale pyramids, Yanga ya mwinyi zahera inapindua meza vizuri tu kama watajiamini.
 
Back
Top Bottom