Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mech mbili tayar bado moja wiki ijayo 3 zako nakata sio arsenal
Wiki ijayao au wiki hii Darajani Carabao na Chelsea,naona unajisahaulisha na hizo mbili umepigia mechi ya Europa,ila kwenye ligi huna uwezo wa kushinda mechi tatu mfululizo za ligi.
 
Mourinho aje afanye kaz na wakina nketia na sakayo sijui saka na yale mabek ya bure lazima mtie hela utagundua shida ni uongozi had wasemwe ndo wanatoa hela hata hiyo hela ya pepe baada ya mashabiki kuchachamaa msimu uliopita

Mourinho kashindwana na bodi ya manchester united anachotaka sio anachopata alifanikiwa pogba tu

Anamtaka morata anapata lukaku
Anamtaka maguire kaishia kumpata dalot
Anamtaka perisic kimyaaa
Anamtaka savic kimyaa

Pep angepata wamiliki wa arsenal na wa manchester united angeshakimbia mtu kama kolarov hana namba city ila huku kwetu wakina young wanacheza
 
Wiki ijayao au wiki hii Darajani Carabao na Chelsea,naona unajisahaulisha na hizo mbili umepigia mechi ya Europa,ila kwenye ligi huna uwezo wa kushinda mechi tatu mfululizo za ligi.
Carabao sina mpango nayo haikupelek popote labda Fa unawezacheza ueropa

Ila hata hivyo mwaka jana washakunywa mbili palepale kwao tena ile chelsea ya moto achana na wakina abraham ambao juz wamekula 4

Upande wa ligi labda nipate majeruhi ulilosema litatokea kama nipo fiti kaa mbali
 
Sawa we jipe moyo kwa matatizo ya wenzio wakati ww una matatizo lukuki.

Mimi comment yako ninayo tutatafutana J5 baada ya mechi na Chelsea.
 
Sawa we jipe moyo kwa matatizo ya wenzio wakati ww una matatizo lukuki.

Mimi comment yako ninayo tutatafutana J5 baada ya mechi na Chelsea.
Elewa nakwamnia carabao haina maana haikupeleki kokote labda Fa unaweza cheza europa kocha mwenye akili huangalia vipaumbele
 
after yesterday's incidence, xhaka is most likey to be stripped off captaincy armband.
this is from impeccable source
 
Shida sio Unai hawa wanapugana na kimvuli kilichomshinda wenger ndio hich kinamtokea Unai shida wamiliki tu wa timu
Ungeomba kazi wewe ya kumreplace Unai, unaonekana unaijua sana Arsenal
 
Arsenal were held to a 2-2 draw at the Emirates vs Palace.
Clattenburg insists a yellow card to Zaha should have stood.
The ex-official doesn't understand why Sokratis' goal was ruled out.
Martin Atkinson made two controversial decisions after a VAR check. Even the former referee has questions over both episodes let alone fans.
"VAR left me puzzled at the Emirates Stadium on Sunday," wrote in his Daily Mail column. "I'm still lost as to why they got involved to award Crystal Palace a penalty against Arsenal when, in my opinion, Wilfried Zaha clearly dived.
"Referee Martin Atkinson was right to book the Palace man for simulation. He was in a perfect position to make the call, too. Calum Chambers' leg was planted and Zaha threw himself to the ground. Atkinson spotted his ploy and produced a yellow card.
"Then VAR got involved. They told their man on the ground to overturn his original decision and award a spot-kick instead. It was a gift for Palace. Then in the last 10 minutes, Sokratis scored to make it 3-2, only for VAR to chalk it off. Meanwhile, those at home and inside the stadium were left trying to work out why.
"This suggests the system is going to be used differently from now on. Maybe Mike Riley, the head of the PGMOL, is feeling under pressure."
 
Carabao sina mpango nayo haikupelek popote labda Fa unawezacheza ueropa

Ila hata hivyo mwaka jana washakunywa mbili palepale kwao tena ile chelsea ya moto achana na wakina abraham ambao juz wamekula 4

Upande wa ligi labda nipate majeruhi ulilosema litatokea kama nipo fiti kaa mbali

Nimeamini mashabiki wa man u ni wepesi kujisahau. Juzi umemfunga chelsea 4 kwako sawa. Je chelsea hajakufunga 4 juzi juzi hapa? Subiri kesho kutwa. Uje na hizo adithi zako za 4 kama hutojipiga ban hapa.
 
Mkuu tutumie vizuri option ya Ignore list. Ukiona mtu hana cha maana anachochangia unamuadd tu.

Mimi humu napata comments za akina Aaron, yako na wengine wa Arsenal.

Wapiga kelele wala husumbuki nao. Sababu hata hujui kama wamepost.
Aiseeeeh kweli mkuu,
 
Nimeamini mashabiki wa man u ni wepesi kujisahau. Juzi umemfunga chelsea 4 kwako sawa. Je chelsea hajakufunga 4 juzi juzi hapa? Subiri kesho kutwa. Uje na hizo adithi zako za 4 kama hutojipiga ban hapa.
Nasahau nini? Si kila uchwao unapigwa wewe kuna mwaka umepita bila kubamizwa na united?
 
Hiv nyie kwa ubahir wenu unafikir akija kocha mpya kuna kitu kitabadilika? Katoka wenger hapo kwa hiz mbwembwe zenu mkiamini kocha mbovu kiko wapi? Mpira sio wakina saka ni pesa
Nani kasema Wenger ni kocha mbovu, usiwe kubwa jinga wewe

Sasa kama ubahiri ni tatizo inakuwaje Arsenal,palace na leicester wapo juu yako kwenye table wewe usiye mbahiri.
 
Kuna haja bodi ya timu ikutane ifanye maamuzi ya kuvunja mkataba na Unai Emery, vinginevyo tunaendelea kupata matokeo ya aina hii mpaka ligi inaisha tutajikuta nafasi ya 6.

Matokeo ya aina hii yanashusha molari ya mashabiki na molari ya baadhi ya wachezaji hasa akina Aubamiyang ambao mara nyingi wanajituma lakini wanaishia kufungwa au sare, hali hii ikiendelea itafanya key players wengi kutamani kuhama na kwenda timu ambazo wanaona watashinda vikombe.
If I had that role of decision at Arsenal, i would have said Unai Emery OUT. LET'S HAVE NEW FACE ON THE BENCH AS MANAGER 😎
 
Back
Top Bottom