Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Leo tupigwe tu mana hakuna namna nyingine ya kumfukuza huyu Baniani.





Leo tupigwe tu mana hakuna namna nyingine ya kumfukuza huyu Baniani.





Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Ugua pole mkuu.Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Japo umewaomba wana familia pekee. Ila na mimi nakutakia afya njema urudi kulipigania chama. Shetani akae mbali nawe rudi jukwaani usiwaache wadogo zako wakaanza kutulsha pumba.Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Japo umewaomba wana familia pekee. Ila na mimi nakutakia afya njema urudi kulipigania chama. Shetani akae mbali nawe rudi jukwaani usiwaache wadogo zako wakaanza kutulsha pumba.View attachment 1251781
Sasa Mtu unampa pole na hii picha uliyoweka Manayake nini?
Wana familia wa Arsenal niombeeni , naumwa malaria
Naitakia ushind Chama letu kesho
Ila UNAI OUT
Leo Watford anachukua point 3 kwako leo kwa mara ya kwanzaLeo kocha kajitahidi kupanga kikosi, naamini tutafanya vizuri.
Leo Watford anachukua point 3 kwako leo kwa mara ya kwanza
Nlikuwa nimemjibu huyo Mbaga jr nikakoseaHata unachokiandika hujui, poor you