Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna watu eti wanasema Wenger is better than Sir Alex Ferguson
 
duuhh ....unajua Arsenal huwa wana virafu fulani vya maudhi halafu huwa they get away.....this time.....kimeumana.....poleni sana Gunners
 
Ooh ooh ooh Shedafa ametoka mafichoni. Yaani msimu mzima wa ligi leo nimefurahi ile mbaya. Du, hivi kweli ndio tumemchapa mtu!
 
Wacha1, AW, Mbu mambo vp? poleni kwa maumivu ya kichwa. I hope baadae mtarudi ktk nafasi yenu ya kawaida.
 
Tumejipiga risasi wenyewe kwa mara nyengine, tatizo letu ni tunaendelea kufanya makosa ya kizembe na kusababisha freekicks, kona na penalti bila mpango.
 
Hii ndio ukiskia sinking ship..Sikuona sababu za kumtoa Chamakh na kumuingiza huyu injury prone, van Persie, akabaki anarukaruka tu.

Arsenal ukiondoa Fab na Nasri waliobaki ni magoore tu
 
This is big shame, yaani kila tunapopata nafasi ya kuongoza ligi tunajikwaa tena mbaya zaidi nyumbani kwetu, dear oh dear what an earth is happening down there at the emirates? Unbelievable...........
 
a very doom day to me
yaani kwa kweli spurs wametufanya kitu mbaya sana, sijui huwa tunapatwa na nini?kila tunapotaka kukwea kileleni someone puts us behind

inaniuma sana kila nikiwaza nataka kulia
inaniuma sana kila tunalofanya linakosekana
inaniuma sana timu yetu imelambwa kichapo
 
BTW, nimegundua mechi nyingi akicheza Kolcieny hua mnaishia kupigwa..Jamaa inaelekea mna gundu nae..kwki kwi kwi..
 
duh poleni sana....arsena nawalinganisha na "Mtibwa Sugar" kwa huku nyumbani...........
 
.......nilimsahau KWELI.....wapi kaka!?,salaama?.Nasubiri muanze kumtoa kafara mchezaji mmoja baada ya mwingine!
 
What a come back!!!! Arsenal mmeumia ngoma ya kitoto haikeshi
Sawa ndio mchezo, asiekubali kushindwa sio mshindani


Sijaona mechi yenu ila bila shaka leo mmetota f2nd half...nasubiri matusi kama kawaida yenu.
Sisi hatuna matusi mkuu, yetu tumemaliza tuna-focus mechi inayofuata, kila la kheri kwa Wigan

poleni watani

kuna jamaa anaitwa kiherehere... nadhani ndio kawatia gundu
Thanks mkuu, nanyi bila Gerard naona ngoma inaweza kuwa nzito kwenu

Midomo ishakuwa mizito
Bado sio mizito, msimamo unasema bado tupo juu ya UTD kwa pointi mpaka sasa, ligi ni ndefu na bado kutakuwa na twist and turn kwa kila timu.

Ooh ooh ooh Shedafa ametoka mafichoni. Yaani msimu mzima wa ligi leo nimefurahi ile mbaya. Du, hivi kweli ndio tumemchapa mtu!
Yaani leo ndio umeonekana? usiwe ivo mkuu na siku tukishinda upite kutupa hongera vilevile
 
upumbavu wa wachezaji wetu,wanamuangusha sana wenger sijui hawasaidie vipi.


makosa yale yale tu,mtu una nafasi ya kufunga unaenda kutafuta kutoa pasi bila sababu.


kitu kingine pia fans wanaotuwakilisha emirates hawajui kushangilia kwa nguvu zote kuwapa moyo wachezaji wapo wapo tu wanafuata upepo wa mchezo wakati wanajua nyumbani wanatakiwa wapige kelele kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
 
kweli huzuni kwa kichapo chake arsenal
kilichotokea pale emirates , tukasema mioyoni twamaliza game kwa kipigo

wenger ajifunze ligi si lelemama
 
Mshafulia nyie, naenda zangu jukwaan kwetu, at least tutapumua frm miluzi yenu ths week, nyambafu.
 
Back
Top Bottom