Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waaaapi Mbu.....wapi AW.......wapi Blntd?....wapi genaika?

Bala is always here.....Ligi ya mwaka huu ni tamu na chungu babu....Fikiria leo tena tumechapwa Imarati..Uzuri ni kwamba wale wakubwa wanne hatuchekani mwaka huu,wote twachezea vichapo na sare mingiii..........Ngoja tuone wakubwa wengine(Man U na Chelsick) wanafanyeje leo
 
yeah, futbo iz not abaut hau yu stat bat hau yu finish! damn you Wenger and your boys! my mood is really off!
 
upumbavu wa wachezaji wetu,wanamuangusha sana wenger sijui hawasaidie vipi.


makosa yale yale tu,mtu una nafasi ya kufunga unaenda kutafuta kutoa pasi bila sababu.


kitu kingine pia fans wanaotuwakilisha emirates hawajui kushangilia kwa nguvu zote kuwapa moyo wachezaji wapo wapo tu wanafuata upepo wa mchezo wakati wanajua nyumbani wanatakiwa wapige kelele kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Sawa sawa mkuu, ukiangalia magoli tunayofungwa mara nyingi ni aidha freekicks ama kona, na kinachokera ni kwamba pamoja na Wenger kuwasisitiza wachezaji wetu kuhusu ku-concede freekick ama kona zisizo na mpango( kwa vile beki zetu ni dhaifu kwenye aerial zone marking) bado wanarudia yaleyale, kati ya magoli mawili tumefungwa leo 1 ni freeckick ambayo Rosicky hakuwa na sababu ya kuisababisha na jengine ni penalti ambayo vile vile hakukuwa na sababu kwa nini Fabregas ainue mkono na kusababisha penalti? Na ukirudi nyuma freeckick kwenye mechi ya Chelsea ambapo Alex alifunga ama lile goli la Andy Caroll dhidi ya Newcastle, hili ni tatizo la miaka nenda miaka rudi.
 
Mshafulia nyie, naenda zangu jukwaan kwetu, at least tutapumua frm miluzi yenu ths week, nyambafu.

Usitukane mamba kabla haujavuka mto aisee............Wenzio Chelsick washalia hapa mwanzoniii
 
ligi ya mwaka huu ni ngumu sana na inaweza kufika christmas hatujapata strong contender wa EPL

Lets see
 
Watani poleni, naona siku hizi hapo emirates pamekuwa sehemu ya kuja kuchukulia point. Ngoja kwanza niwaangaie vijana wangu maana sie msimu huu ni ado ado tu.
 
Dah Naona bunduki zetu leo sijui hata nisemeje......... Ngoja nikapte serengeti baridi huzuni
 
Chelsea kafungwa naona tumepoteza opportunity kubwa sana leo,furaha kwa man united.
Nilikuwa nafuatilia game ya chelsea utadhani mie mshabiki wa Birmingham, Ben Foster katusaidia leo lol. Ngoja nichekelee tu sasa hivi. Again poleni.
 
Poleni wenzangu wana GUNNERS, inauma but we can not change this 2-3 results.......Chelsea na wenyewe wamelala kwa bao moja.
 
Poleni wenzangu wana GUNNERS, inauma but we can not change this 2-3 results.......Chelsea na wenyewe wamelala kwa bao moja.
Ni sawa kabisa, na tugange yajayo ila kusaikolojia hiki kichapo kitatusumbua sana, ukizingatia Spuds ndio wapinzani wetu wakubwa na ni miaka mingi sana hawakuweza kutufunga nyumbani, kwa wapenzi tumeumia sana leo, ni afadhali kufungwa na timu nyengine yoyote ila sio hawa Yids, Dah naandika huku namalizia Buds ya 4 niki-reflect hiki kichapo, absolutely shattered!!!
 
Lol!, maumivu ya kichwa huanza poleeeepooleee!.........am counting on you guys!
 
Lol!, maumivu ya kichwa huanza poleeeepooleee!.........am counting on you guys!
 
Good news to MANUTD............................you can say that again....................
 
...kwakweli Mwenyezi Mungu amlaze tu mahala pema peponi Suleiman Omondi wa Kisumu Kenya.
Hali bado ni ngumu sana, yataka moyo.#
Anyway, madhali na Chelsea kunaungua... heri pia.

Together we stand!
 
Pole hizi ni maalum kwako ndugu yangu Mbu, "POLE SANA". Safari hii nimekupata, tena hapo hapo nyumbani kwako!
 
Pole hizi ni maalum kwako ndugu yangu Mbu, "POLE SANA". Safari hii nimekupata, tena hapo hapo nyumbani kwako!

Nakwambia!...
Inauma sana aisee...acha tu.
Yani Defoe nae kwa urefu gani apige kichwa mpira ule?
aaarrrgghhh!...Gallas apewe nini leo!
Hongereni sana Shedafa.
 
kweli huzuni kwa kichapo chake arsenal
kilichotokea pale emirates , tukasema mioyoni twamaliza game kwa kipigo

wenger ajifunze ligi si lelemama



Mkuu Wenger tangu amekuja hii ni mara ya kwanza kufungwa na Hotspurs nyumbani sasa sijui unaongea nini kama sio viroja? Ni sawa na Spurs kusema sasa watachukua EPL wakati hata hawajakaribia kileleni. Bado Arsenal ni ngoma kubwa.





Cesc baada ya kutoka kwenye majeruhi bado hajarudi kwenye kiwango chake, na Chamakh leo sijui miguu ilikuwa na ganzi pale mbele kama mara mbili hivi alishindwa kufanya movement. Tumebakiza kama point 11 za kuchezea, defence leo waliona mechi rahisi baada ya magoli mawili. Another bad day in the office after 17 years.
 
Back
Top Bottom