Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Xhaka hapaswi kuwa captain.
_20191028_000453.JPG
 
Walitamba sana hawa na comred kipepe wao watu tulikuwa tunawapimia wateleze tulete picha
Huna maajabu wewe,timu lako lenyewe tia maji tia maji kama gari la mkaa breki shamba ,breki gereji

Hahahahaaaaaa
Hivi mpo wangapi?
 
Leo tunashinda, maturubai kaweke kwa man.u kule

Japo kocha ovyo Leo tunashinda mapema tu

Mkuu ila kweli huyo kocha wenu uwezo mdogo,kwa kawaida timu ikifungwa mechi moja tu wanabadilika na kutafuta mbinu mbadala tatizo nn?

Ila kwa Arsenal hizo hakuna,lampard ameshabadilika .

Leo nilivyoona mnaongoza nikajua kwakuwa mechi iliyopita mlifungwa automatic mechi ha leo point tatu muhimu.
 
Unai bado ni mzigo kwakweli,ameleta unyonge sana kwenye timu...
 
Arsenal striker Alexandre Lacazette, who started the game, raised eyebrows by 'liking' the post calling for arsenal to sack Unai Emery after Crystal palace draw.

20191028_023913.jpeg
 
Vituko kama hivi unaweza kuvikuta Arsenal tu
Hivi vitimu bwana, wanamzomea nahodha wao. Nahodha nae anawajibu kwa dharau,na anavua jezi na kusepa. Pogba pamoja na kutukanwa na mashabiki hajawahi kufanya jambo kama hili.

Uzi wa MUFC una heshimika sana.
 
Sipati picha na Liverpool j5 tano,yaani tunapusuka vizuri timu ishatawanyika haina unit.
 
Back
Top Bottom