Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Wakuu manure watatunyoa nywele OT na yule dogo wao wa miaka17 alivyo waka
Wewe nakujua ni mshabiki wa man u,Wakuu manure watatunyoa nywele OT na yule dogo wao wa miaka17 alivyo waka
| #AFC
https://t.co/AB02BuhXv6

kitu ambacho yeye Auba ni mvivu 
Na xhaka anazuia wenzake kutumia simu muda wa mazoezi 





Mimi nshakwambia broo, wewe unajua mpira and you know exactly how it works.Baada ya Benitez kutoka Liva, ikapata makocha wa hapa na pale mpaka ikatulia kwa Klopp. Man U baada ya Alex kutoka wakazurura hapa na pale na saa hii wameangukia kwa Ole ambaye naamini ataondoka soon.
Chelsea wanaenda na kurudi kwa Mourinho, safari hii wametua kwa Frank, binafsi naamini siyo kwa kupenda isipokua wamekosa established coach ambaye angekubali kufundisha klabu isiyosajili.
Arsenal tumeachana na Arsene kaja Emery naona ghafla tuna hamu ya kuipita ruti waliyopita wenzetu. Ajiri, Tema, Ajiri, Tema tena. Yaweza kua Emery hatoshi lakini hapo ni tumemuweka sahani moja na Man City, Liverpool (Nimetaja hizi timu mbili kwakua ndiyo zina uhakika wa kushinda zinapocheza na timu nyingine) lakini kati ya hizi timu kuna moja ilijengwa kwa uvumilivu, trial and error mpaka wakafika wanapopataka halafu nyingine imejengwa kwa pochi.
By the time hizi timu zinajijenga, kwa pochi na kwa uvumilivu, sisi hatukua popote katika hayo makundi 2. Pesa hatukutumia na vipaji tulikua tunaviuza, hatukutumia pesa kuleta wachezaji wakali na vilevile hatukua na timu iliyosukwa kwa muda mrefu. So saa hii Emery ana timu ambayo imefungua pochi kidogo na ina makinda, ninachoona anajaribu kuwork out nani ni nini katika kila nafasi. Xhaka kuchezeshwa namba siyo yake siyo tukio la kwanza duniani, Henry alivyochezeshwa kama striker na Arsene hakuanza kuscore ghafla, ilichukua muda mpaka akawa tunayemjua leo.
Mgano tunajua kua mtu unahitaji beki wa kulia na kushoto wanatakiwa kua na speed kuliko CB ila Chambers hana speed ingawa ni beki mzuri. Mimi ningekua kocha nikicheza na baadhi ya timu siwezi kumpanga Chambers awe beki wa pembeni ni nitamweka CB au DMF. Emery anashinda na hawa watu karibia kila siku ni anajua nani ni nini katika nafasi anayompa.
Ingekua Man U ndiyo inalalamika kuhusu matokeo ningeelewa sana, kwanini? Kwasababu wametumia pesa nyingi karibia na Man City waliyotumia wanalipa wachezaji mishahara mikubwa lakini bado timu yao siyo tishio.
Miki nasema Emery ni kocha tena mzuri tu. Arsene alikuja akitokea Japan, na hakuna aliyejua huko alipotoka alifanya nini and the man turned out to be a legend. Emery hata historia yake ipo ila kumvumilia ndiyo mtihani au siyo? Kisa? Hajui kikosi. Nakumbuka fainali na Chelsea ya Europa kikosi alichopanga ni kilekile mashabiki tulikililia, tukafa nne, na huyu Ozil anayeliliwa hapa yumo.
Tukaga tatu na Leicester, tukafa 2 - 1 na timu jina limenitoka. Mimi nikisema Laca na Auba waanze hua simaanishi tunashinda hua namaanisha na sisi tunakua na fighting chance. Nikisema Matteo miyeyusho simaanishi asipokuepo tutashinda ila namaanisha akiwepo anaua fighting chance kwa ukosefu wake wa stamina na control.
Naamini baadaye kidogo tukitoka kwa Emery tutaenda kwa Luiz. Luiz ni mkabia macho kama Mustafi, na msababishaji penati mzuri tu. Tukitoka hapo tutaenda kwa Pepe, hajascore mpaka leo wakati Nketiah mechi moja tu kascore, Saka kashascore, tusihesabie la penati.
Hoja yangu ni kua arsenal bado tunajijenga, matamanio yetu yakae kando kama kusajili hata Totenham kasajili lakini maisha yake wote tunayaona na Efl kashatolewa.
Tuache mihemko.
Unajua wewe jamaa unakuwa na hoja chengu kabisa. Sometimes mpaka naona napoteza muda kujadiliana na wewe mambo ya soka. Of course nakukubali sana unatuletea taarifa, means you make our lives easier (because hata mimi hizo taarifa naweza kuzipata tu faster, tatizo muda).Hali gan halis
Leta hoja za emery kutufikisha mbali
Mm nilishakupa hoja muhimu emery hafai kwa Arsenal na hawez kutufikisha popote
Nikakwambia Emery anavuruga falsafa ya arsenal
Mpaka sasa timu haijulikan inacheza NINI
Nikakuuliza Je kocha ambaye hana falsafa ,wala mfumo unawezaje kumpa muda?
Unapowataja kina klopp,pep ,na hata lamapard kumbuka tayari walionesha mwanga ,hivo ni rahis kuwapa muda
Emery mpaka sasa anataka kutuaminisha Xhaka ni namba 6 mzuri kuliko lt11
Unaanzaje kumtetea kocha kama huyu?
Na angechukuliwa Arteta pia mngesema. Emery ndio kocha wetu asiemtaka ahame au aende timu ambayo kocha anamtaka akafundisheArsenal siyo timu ya kubadilisha makocha ovyo ila kwa sababu ya uongozi kumpa timu Emery ilikua ni kutafuta unafuu tu. Na ndio inatucost leo.
Mtu kama Mikel Arteta alikua mtu sahihi kabisa kutokana na mambo aliyoyahitaji kuyapata.Yule ndio alikuwa mtu wa kuunda timu na tungemwelewa.
Emery ni chaguo la pili na haya tunayoyaona leo ni madhara ya chaguo la pili (PLAN B ).
Arteta > Emery.(Hata bodi na Wenger pia wanalijua hili). Hahahahaaha!
Duh we jamaa unatoa povu la kutosha.....Na angechukuliwa Arteta pia mngesema. Emery ndio kocha wetu asiemtaka ahame au aende timu ambayo kocha anamtaka akafundishe
Sio hivyo dully, inaonekana kama tunagombania fito. Huyu ndio kocha wetu, the management went through a process to get him, now we dont trust the process???Duh we jamaa unatoa povu la kutosha.....
Hili ni jukwaa huru na watu wapo huru kutoa maoni yao,SASA USIWAFUNGIE WATU KATIKA BOX LA FIKRA ili wafanane wanachofikiria hiyo haitakuja tokea daima.......toa maoni yako tutayaheshimu na mwingine akitoa maoni yake pia uyaheshimu.....
Isifike kipindi tukaanza kufukuzana humu kisa kupishana mawazo,
Wote tunajenga nyumba moja haina haja ya kugombania fito....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Upande wangu laca angekaa #2 freshi,
lakini sio mbaya ila papa +leno + luiz mmoja wao angepewa sema Emery anasema ndio wamepiga kura kumpitisha Xhaka ,ila naamini Emery alishaweka mazingira ya Xhaka awe captain.
Kwa upande wa Hector nimefurahi huyu mtoto anahamasisha sana wenzake .
Ninacho sikia xhaka wanampenda sababu kwenye dressing room huwaga yupo makini sana kuongea, kuchangia na pia anawahi sana mazoezini, hadi kuna clip video ,Auba alisema xhaka kila muda kwenye grupu lao la whatsapp anawauliza
“oi mazoezi saa ngapi “
kitu ambacho yeye Auba ni mvivu
Na xhaka anazuia wenzake kutumia simu muda wa mazoezi
Kfupi Unai anampenda xhaka Kwasababu ni snichi![]()
Mbona unaongea pumba sanaUnajua wewe jamaa unakuwa na hoja chengu kabisa. Sometimes mpaka naona napoteza muda kujadiliana na wewe mambo ya soka. Of course nakukubali sana unatuletea taarifa, means you make our lives easier (because hata mimi hizo taarifa naweza kuzipata tu faster, tatizo muda).
Emery anavuruga falsafa ya arsenal?? Falsafa ipi??? Ya kupiga pasi nyingi halafu mwisho wa siku tumetoka droo?? Hii sio falsafa ambayo tuliikataa?? Tukasema tunataka points??? Nimekuona mara kadhaa eti unapiga upatu uchwara humu Mourinho apewe timu, sasa unaijua falsafa ya Mourinho?? Au unamchukia tu mtu for nothing??
Hivi mweli unaweza ukakaa ukasema timu haijulikana inacheza nini?? Hebu nenda uangalie where were we on game day 6 in the previous 3-4 seasons?? The team is collecting points na hilo ndio la muhimu, we may win in an ugly way but that's better than playing beautiful and lose against Birmingham tena fainal.
Hivi seriously unasemaje kocha hana mfumo?? Kwa ajili tu za kawaida kocha anakuwaje hana mfumo??
Hivi ile 4-4-2 au 3-5-2 au 4-2-3-1 inakuwa sio mifumo ?? Yale ni mavi ya mbuzi sio?? Au ndio mnataka kila mechi formation hiyo hiyo?? Sio lazima kuiga, kama klopp anacheza 4-3-3 kila mechi it's because hana option in his front 3. Ni exceptional players ambao hawezi kuwapiga benchi. Salah, mane na firmino. Sasa unasemaje yaani katika akili ya kawaida kocha hana mfumo??
Lampard??? Kaonyesha mwanga gani?? Huwezi kumzungumzia Lampard kwa chochote kwenye taaluma ya ukocha, sisemi timu yake haichezi vizuri, nooo! Timu inacheza vizuri lakini hebu niambie, is there any hope kwamba chelsea itaambulia chochote end of season?? Jibu ni noo. Lampard can't be a reference kabisa.
Hebu acheni story za vijiweni, hivi mnajua kwamba kumpata Emery management ilifanya mchakato na sio kukurupuka tu??