Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FB_IMG_1572204090765.jpg


Granit hata Ukepteni haumfai kabisa
 
Mnawachezaji wazuri wenye vipaji shaka,toreira,guandouz,pepekale,laca,piere nk. bado hamueleweki na mmetuzidi point 3 ole wenu mpoteze game moja
 
Mnawachezaji wazuri wenye vipaji shaka,toreira,guandouz,pepekale,laca,piere nk. bado hamueleweki na mmetuzidi point 3 ole wenu mpoteze game moja
Yote kayataka UNAI yaani mpaka nyinyi ambao timu yenu haiwezi kushinda mechi tatu mfululizo mnatupiga mikwala.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
 
"E="joseph1989, post: 33284694, member: 224824"]
Yote kayataka UNAI yaani mpaka nyinyi ambao timu yenu haiwezi kushinda mechi tatu mfululizo mnatupiga mikwala.
 
Despite joining AS Roma on a season-long loan on deadline day, Henrikh Mkhitaryan has played more minutes in the Premier League than Mesut Özil this season.
 
Xhaha yuko sawa, namuunga mkono, kwann mashabiki wasipige kelele zao kwa Unai na wanamalizia hasira zao kwa Xhaha, imefika wakati mashabiki wa Arsenal wawe na adabu, walianza kumchukia Ozil bila ya sababu sasaivi wanamuona kama lulu, tatizo sio Xhaha tatizo la Arsenal kwa sasa ni mbwa Unai, huyu mzee kaja kutuharibia timu yetu, kama uongozi hawajaliona hilo basi kuna mpango wa kukaribia kushuka daraja
 
Back
Top Bottom